M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,722 Reaction score 15,117 Apr 17, 2026 #1 Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira
Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,371 Reaction score 28,790 Apr 19, 2026 #2 Malaria 2 said: Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira Click to expand... Usiye amini hilo ni kuwa ama wewe ccm ama chawa wao ila ukweli huwa ni mchungu zaidi ya shubiri ila kwakuwa ni tiba shurti uinywe na kwa kuwa unaumwa!
Malaria 2 said: Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira Click to expand... Usiye amini hilo ni kuwa ama wewe ccm ama chawa wao ila ukweli huwa ni mchungu zaidi ya shubiri ila kwakuwa ni tiba shurti uinywe na kwa kuwa unaumwa!
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Apr 19, 2026 #3 Kama haina nguvu unaogopa nini? Ni maajabu unasema chama wanaosikika ni wawili tu Tanzania halafu bado unakiwekea bandiko refu.
Kama haina nguvu unaogopa nini? Ni maajabu unasema chama wanaosikika ni wawili tu Tanzania halafu bado unakiwekea bandiko refu.
P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,288 Reaction score 17,333 Apr 19, 2026 #4 Sisi chadema tunaamin katika misingi na taratibu za chama hatuamin katika WATU ndio maana chama kipo had Leo Tofaut na kwenu mnaamin katika mtu kwenu CCM mwenyekiti ndio Kila kitu hata kama hajui kuhesabu akisema mafuta lita dola 800 wote mnaitikia Samahana hv anayejiità RAIS form four matokeo yake yalikuwajeee
Sisi chadema tunaamin katika misingi na taratibu za chama hatuamin katika WATU ndio maana chama kipo had Leo Tofaut na kwenu mnaamin katika mtu kwenu CCM mwenyekiti ndio Kila kitu hata kama hajui kuhesabu akisema mafuta lita dola 800 wote mnaitikia Samahana hv anayejiità RAIS form four matokeo yake yalikuwajeee
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Apr 19, 2026 #5 Malaria 2 said: Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira Click to expand... Huna akili. Haya kajivike mabomu unamused Trump.
Malaria 2 said: Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira Click to expand... Huna akili. Haya kajivike mabomu unamused Trump.