Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Vipi uzito wako.. Umri je? Na je kwenye ukoo wenu mna historian ya BP?HAbari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
Sawa ahsante nitafanya ivoShukuru hiyo presha ipo hivo.
Hiyo ni dalili kwamba kuna ugonjwa umeingia mwilini.
Fanya full blood picture lazima utajua tatizo.
Pia oga maji baridi na jitahidi kufanya mazoezi yenye high intensity
Umri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuriVipi uzito wako.. Umri je? Na je kwenye ukoo wenu mna historian ya BP?
Je kuna changamoto unapitia? Kazini, nyumbani, mahusiano au kipato?
Kama vipi bado sijakuelewaPole Sana,tafuta chanzo cha Tatizo urudi tukupe ushauri!
Pole sana ndugu. Kwa uzoefu uliopo, dawa za hospitali (dawa za kizungu) zinashughulika zaidi na dalili za ugonjwa wa pressure. Hazishughulikii chanzo cha ugonjwa. Na ukishaanza kutumia dawa zao unakuwa mtumwa wa hizo dawa. Yaani huponi, zinatoa nafuu ya muda mfupi tu.HAbari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
Tatizo liko hapa " NIMEOWA"Umri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuri
Mazoezi ya high intensity kwa Mgonjwa wa Presha si ndio unapandisha Presha zaidi?Shukuru hiyo presha ipo hivo.
Hiyo ni dalili kwamba kuna ugonjwa umeingia mwilini.
Fanya full blood picture lazima utajua tatizo.
Pia oga maji baridi na jitahidi kufanya mazoezi yenye high intensity
Kuna maswali mengine hujayajibu nataka nipate picha kamili.. Na je kwenye ndoa yako kuko sawa?Umri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuri
KATAA NDOAUmri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuri
Pressure kupanda lazima kuna kisababishi mfano uzito mkubwa,life style,ujauzito,stress,magonjwa mf.kisukari e.t.cKama vipi bado sijakuelewa
Kama upo interested na tiba mbadala nijulishe nikutambulishe kwa Dr Omary. Ni mtaalamu aliyebobea kwenye tiba mbadala na lishe. Mimi nimesaidika sana kwa utaalamu wake.Pole sana ndugu. Kwa uzoefu uliopo, dawa za hospitali (dawa za kizungu) zinashughulika zaidi na dalili za ugonjwa wa pressure. Hazishughulikii chanzo cha ugonjwa. Na ukishaanza kutumia dawa zao unakuwa mtumwa wa hizo dawa. Yaani huponi, zinatoa nafuu ya muda mfupi tu.
Hivyo, nakushauri utumie tiba mbadala. Ukipata iliyo sahihi na kutumia dawa kwa kuzingatia masharti- hasa ya ulaji wa vyakula-unapona kabisa.
Nikate ndoa kwann ndugu yanguKATAA NDOA
Pole lakini 140/90 sio mbaya sana na madaktari hawakupi dawa kwa hizo number watakuambia change lifestyle kama vyakula, kulala na mazoezi, hizi ndoa lakini πππUmri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuri
Sasa ayo magonjwa nikienda hosptali ndio sipati lolote zaidi ya kuambiwa presha ipo juuPressure kupanda lazima kuna kisababishi mfano uzito mkubwa,life style,ujauzito,stress,magonjwa mf.kisukari e.t.c
Sasa ungejifanyia utafiti ujue nini kinasababisha pressure yako inapanda!,
Tutakwambia utumie dawa za hospital Kumbe ungeweza kupona kwa kubadili life style Tu!
Mkuu ndoa yangu ipo sawa sijui kwa macho ya watu wameipokea vpKuna maswali mengine hujayajibu nataka nipate picha kamili.. Na je kwenye ndoa yako kuko sawa?