Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

Sawa ahsante nitafanya ivo

Utakufa kwa kufuata ushauri huu, tafuta ushauri wa daktari kabla ya kufanya mazoezi ujue tatizo zima ni nini stress, mafuta mgando ktk mishipa ya damu, kukosa usingizi au tatizo jingine la kiafya.
 
Humu kila mtu atakuambia lake. Nenda hospital kacheki ujue tatzo. Pressure inasababishwa na vitu vingi kama, mafuta mwilini, kurithi, kutanuka kwa moyo, pombe iliyokithili, kuongeza chumvi mbichi kwenye chakula n.k
 
Very informative πŸ‘
 
Mkuu ni Dm ila uwe karibu na msukuma.
Mi nitakufundisha bure najua hutaelewa mti hadi uwe karibu na msukuma kiswahili siujui
 
Chief pole sana,tafuta vitamin D3,K2 na Magnesium glycinate. Vitamini D3 tumia IUD 5000 kila siku.

Kama una uwezo fanya high protein,high fat diet. Kula nyama πŸ„,mayai na samaki pekee kwa siku 30. Usitumie mbogamboga (inflamation) maana zinapigwa sana madawa shambani. Usitumie wanga (sukari).

High blood pressure inasababishwa na insulin resistance( sukari kwenye damu full time) na body inflamation kutokana na vyakula tunavyokula pamoja na chemicals mbalimbali kila siku.

Protein/fat diet ni safi,mwili wako utafanya detox na kurejea kwenye hali ya kawaida. Sio hivyo tu,hii diet itaenda kutibu shida zote (chronic) za kiafya ambazo unazo.

Kama una shida ya mgongo, magoti,shingo, insomnia nk zote zitaisha. Kila la heri.
 
Umri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuri
Ni presha tu au kuna dalili nyingine nyingine? Mkojo ukikojoa upoje? Usiku ukilala unatoka jasho sana?
 
Acheki na full blood picture kujua kama pia ana Uric Acid
 
Umempa ushauri mzuri.

Ila pia hapo kwenye sala pa umuhimu sanaaaa sanaaaaa

Kama wewe ni muislamu, anza kupiga dua kila siku. Pia jitafakari ndani ya miaka 2 iliyopita, hamna dhambi kubwa uliyofanya? Anza kuitubu hiyo dhambi, halafu usali sana. Magonjwa ni hila za shetani, maana shetani ana uwezo wa kumpa binadamu magonjwa. Lakini ukishamrudia Mungu, utaona mabadiliko. Utaenda hospitali mara moja na tatizo utalijua na utapona kabisa.

Mrudie Mungu

Kuna mistari ya biblia inasema hivi

"Sikukuandamia ewe Bwana wangu na adui zangu wamenipiga"

"... alipopigwa na ugonjwa hakumrudia Bwana, naye aliangamia"
 
Shukuru hiyo presha ipo hivo.

Hiyo ni dalili kwamba kuna ugonjwa umeingia mwilini.

Fanya full blood picture lazima utajua tatizo.

Pia oga maji baridi na jitahidi kufanya mazoezi yenye high intensity
uyu tayar presha iko juu mazoezi ni kuharibu mishipa, either inaweza kuburst
 
Pole lakini 140/90 sio mbaya sana na madaktari hawakupi dawa kwa hizo number watakuambia change lifestyle kama vyakula, kulala na mazoezi, hizi ndoa lakini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hio 90 ni over mbaya, ya juu sio issue sana! 140 means yuko mwanzo wa danger zone ila 90 means somewhere kuna mishipa imeziba and haiwezi kupokea msukumo sahihi wa dam unaotoka kwenye moyo
 
Sawa daktari
kitaalam alichoandika anamaanisha tayar ana stage 2 hyper tension, however to confirm it anatakiwa afanye angalau vipimo 10 ndan ya wiki mfano akiwa amepumzika , ametoka kutembea vitu kama ivo ila hio tayar ni stage 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…