Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
LENGO LAKE ILIKUA AKUOMBE USHAURI WEWE TUU AU KWA WANA JAMIIFORUMS WOTE?kitaalam alichoandika anamaanisha tayar ana stage 2 hyper tension, however to confirm it anatakiwa afanye angalau vipimo 10 ndan ya wiki mfano akiwa amepumzika , ametoka kutembea vitu kama ivo ila hio tayar ni stage 2
🤣 🤣 🤣 tulisema sana apa wafanya mazoezi hawaskiiLENGO LAKE ILIKUA AKUOMBE USHAURI WEWE TUU AU KWA WANA JAMIIFORUMS WOTE?
Apunguze kuwaza!
Nichek inboxHabari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri