Anaejua ilipo Gym ya wanawake watupu mitaa ya Kinondoni A au B anisaidie.

du!!dawa zote umemaliza!!!!!!na za MziziMkavu pia?ila zangu hujazitumia!!
Mkuu Zamaulid Hajatumia Dawa zangu huku niliko kuna mtu katumia dawa zangu alikuwa na kilo 300 baada ya kutumia dawa zangu karibu miaka 2 sasa yupo na kilo 80 akitumia Dawa zangu akitaka asitake atapungukiwa na uzito jamani muonyesheni huyu bibie.@Madame B Gym ya wanawake watupu.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana na wewe unatoa tiba?
Nielekeze tiba au gym.
we nipe kadi zako za benki nikae nazo kwa mwezi mmoja tu!!ukiletewa benk statement mwenyewe mbona utapungu tu!!!!
 

MziziMkavu bhana, mie nimechoka kumeza dawa ziwe za asili au za kizungu.
Nimezichoka bhana.
Nataka gym tu.
 
Last edited by a moderator:
we nipe kadi zako za benki nikae nazo kwa mwezi mmoja tu!!ukiletewa benk statement mwenyewe mbona utapungu tu!!!!

Hadi hiyo nshafanya lakini wapii!
Niko palepale.
 
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.

sasa shosti wewe ndio hujui......kujichanganya na hao jamaa ni burudani sana....wanatia moyo kweli.....
we niulize nikwambie.............
 
Dah, mimi nina siri zote za wanawake wanaotaka kupunguza uzito na kurekebisha shape zao,

hebu ni-pm fasta Madame B uje upate mambo,

Angalizo: mpango-mkakati wangu ni zaidi ya Gym ya wanawake 'watupu', na utaipenda saaaaana
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mnakunywa pombe kimakosa;

- ukinywa unakunywa sanaa unapokuwa na stresss eti zikuondolee stress kumbe ndo inaongeza accumulation ya wastes na hops mwilini.

- unakunywa mara moja kwa wiki nyingii..hivyo mwili unajizoesha kuaccumulate ili kutumia kwa wiki nzima mpaka wikend ingine.


* jitahidi kunywa kila siku kwa kiasi...utaona mabadiliko!lol:A S 39:
 
sasa shosti wewe ndio hujui......kujichanganya na hao jamaa ni burudani sana....wanatia moyo kweli.....
we niulize nikwambie.............

Nishamaliza karibia gym zote mjini, mixer na single lakini wapi.
Dah! Preta, nachokaje!
 
Last edited by a moderator:
Dah, mimi nina siri zote za wanawake wanaotaka kupunguza uzito na kurekebisha shape zao,

hebu ni-pm fasta Madame B uje upate mambo,

Angalizo: mpango-mkakati wangu ni zaidi ya Gym ya wanawake 'watupu', na utaipenda saaaaana

Haya naku Pm mpendwa.
"zaidi ya wanawake watupu"
dah!
 
Last edited by a moderator:
Kweli mungu mkubwa...Wakati Madame B unatafuta namna ya kupunguza mwili mimi nimeshauriwa niongeze lau 10kg ili kumachi ma urefu wangu, sasa shida kila nikiweka menu na kuamini sasa tayari nikipima nakuta nyongeza ya 2kg au pungufu ya 2kg hivyo sijafanikiwa kuongeza hadi leo 2yrs.
 

Hapo ndo kwenye tatizo.
Nataka nihakikishe mpaka nimetosheka kbs.
 
Gym kwa wanawake watupu tu,mh ndo kwanza naiskia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…