Anaejua ilipo Gym ya wanawake watupu mitaa ya Kinondoni A au B anisaidie.

comando kashindwa kukupiga zoezi?
 
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.

Wakiwa wanawake WATUPU lazima na wanaume waje, chezea fahari ya macho weye, jaribu kwenda pale Vijana jirani na mango garden, huma nawaona pale ingawa hawawi "watupu" ila nadhani patakufaa
 
Pole jamani Madame B , unataka upungue uwe mnene kama mimi? Unaweza jaribu kunya juice ya marimao na mazoe @ least unakimbia 10km/day ..

Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.
 
Last edited by a moderator:
We hujatulia, hakyamama.
Mie gym ni mtu wa kujiachia sana.
Mara nimetinga skintight na t-shirt, mara nimetupia top na kipens, ndo mana nataka nipate sehemu free ili hata kama nikivaa juu ya huu mtikisiko nisiathiri ufanyaji wa mazoezi kwa wanaume.

Mbona una hofu kwani kuangalia mali dukani unafilisi duka? Mbona wachaga kule K/koo wanatuambia Fahari ya Macho wakimaanisha angalia na huku?
 
Wakiwa wanawake WATUPU lazima na wanaume waje, chezea fahari ya macho weye, jaribu kwenda pale Vijana jirani na mango garden, huma nawaona pale ingawa hawawi "watupu" ila nadhani patakufaa

Pale vijana ndani ya lile jengo la Global?
Pale ni Mixer.
 
Mbona una hofu kwani kuangalia mali dukani unafilisi duka? Mbona wachaga kule K/koo wanatuambia Fahari ya Macho wakimaanisha angalia na huku?

Akha babu wee!
Cha kufia?
Akhu!
Nataka nijimwage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…