Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
preta safari vp dear?sio naenda......niulize nina muda gani....
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.
comando kashindwa kukupiga zoezi?
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.
Bado yuko china
We hujatulia, hakyamama.
Mie gym ni mtu wa kujiachia sana.
Mara nimetinga skintight na t-shirt, mara nimetupia top na kipens, ndo mana nataka nipate sehemu free ili hata kama nikivaa juu ya huu mtikisiko nisiathiri ufanyaji wa mazoezi kwa wanaume.
Pole jamani Madame B , unataka upungue uwe mnene kama mimi? Unaweza jaribu kunya juice ya marimao na mazoe @ least unakimbia 10km/day ..
Nendo bana uko siasani uku unatafuta nini?
Sema "kunywa", wajapani mna shida sana
Wakiwa wanawake WATUPU lazima na wanaume waje, chezea fahari ya macho weye, jaribu kwenda pale Vijana jirani na mango garden, huma nawaona pale ingawa hawawi "watupu" ila nadhani patakufaa
Asante Wandugu Masanja,
nitajitahidi kufata maelekezo.
Ila hapo kwenye soda na bia, mh!
Pananishindaga.
ukitaka kuwa kama mimi acha maji ya tblKomando hajarudi bado.
Nataka mwili kamj wako.
Rejea njia nyembamba kule pangami