Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
du...sina cha kuuliza tena!!!Hahaha!
Nashindwa kubinjuka ipasavyo bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du...sina cha kuuliza tena!!!Hahaha!
Nashindwa kubinjuka ipasavyo bhana.
Kweli mungu mkubwa...Wakati Madame B unatafuta namna ya kupunguza mwili mimi nimeshauriwa niongeze lau 10kg ili kumachi ma urefu wangu, sasa shida kila nikiweka menu na kuamini sasa tayari nikipima nakuta nyongeza ya 2kg au pungufu ya 2kg hivyo sijafanikiwa kuongeza hadi leo 2yrs.
Wanaume wanaenda kuangalia Mitikisiko ya Pwani au vp. Wanakodolea macho kama mafundi saaDah!
Hongera zako.
Mie gym za mchanganyiko na wanaume zanchosha tu.
.....mwisho wa siku unashindwa hata kufanya lililokupeleka pale.
Haya naku Pm mpendwa.
"zaidi ya wanawake watupu"
dah!
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.
Pole sana hayo ndo magonjwa yanayosumbua wanaume wengi, watoto wa mujini wanasema "Hata kama sio mkeo, kula kwa macho haikatazwi"
Madame B hujui dawa? Mtambuzi kasema kanjunji sokoni mchana kweupeee mwili utaisha tu ndani ya wiki moja.Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.
kumbe madam b una aibu,sijategemea.maana maneno yako au huwa unafurahisha genge tu?ruka kamba inasaidia sana.ruka kila siku asubuhi na jioni,unaanza kidogo kidogo,mpaka unaruka mara 150 kwa wakati mmoja.utapungua tu.fanya sit up,hiyo inasaidia kupunguza tumbo.au work out.kama ni mtu wa aibu,nunua dvd yako,ndani mwako unafanya mazoezi,mwili utapungua tu.ila ni siku ya kwanza ni kazi,baadae unazoea
jaribu kufanya mpangilio wa chakula usile chakula chochote cha mafuta hata butter usitumie na kunywa maji sio ya baridi lala kwa wakati, usinywe aina yoyote ya soda, pendelea kula machungwa lakini jihadhari na meno
tembea kwa miguu kila siku maili mbili bila ya kusimama jaribu kutumia dakika 30 za kwenda kwa miguu non stop, usile chakula chochote hata mkate kama huna njaa( weka muda maalumu wa kula usile ovyo ovyo)
Kama unafanya kazi ofisini jaribu kuwa mbali na kila kitu ili upate nafasi ya kuenda kwa miguu hatua kama 20 na jaribu kila dakika 15 usimame na kuenda kidogo
Hiyo itakusaidia ukiweza kufanya hivo kwa muda wa mwezi nijuulishe, utakavyoona ni kuwa hupungui uzito ndio utaona, lakini hiyo ni 1st step usibadilishe mpangilio
orait orait Madame B, cheki pm yako nshakujibu tayari, hapa ni kazi kwa kwenda mbele sina utani, na fanya fasta nataka wewe huduma hii upate bure baada then ukuje huku kwa JF unifanyie promo nianze kutoa huduma hii kibiashara zaidi. hope umenisoma
lol! haki ya nani mwaka huu wangu
Madame B hujui dawa? Mtambuzi kasema kanjunji sokoni mchana kweupeee mwili utaisha tu ndani ya wiki moja.
Usiende na Ben Saanane, nenda na yuko mgambo koko wako wa china