Makala ana file mezani kwake, ni suala la muda tu. 😀 😀Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu.
Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje.
Ama ukiona hili gumu tujuze tu matokeo ya wale jamaa wa hazina waliojichotea hela kama vile hazina haina mwenyewe nitashukuru.
Na Waathirika (victims) wa uhalifu uliofanyika plea bargain inawasaidiaje baada ya Muhalifu kuachiwa!!?Kwani mwasahau upo mlango wa plea bargain [emoji848]
Kwa normal textDuh mkuu kweli hii ya kutafutwa inbox?
Kwa normal text
Mie nashangaa Mabehewa yaliyookotwa Bandarini yote yameshalipiwa
Baada ya kuandika hii mada siku 4 mbele nikatumiwa ujumbe .. Tunafahamu nyumba unayoishi hapo Kibada, endelea kuandika....
Thread 'Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni' Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni
China sawa..China, Russia huachwi.
HUwa tunasahau vitu muhimu tu mambo ya kijinga hatusahau kamwewatanazania huwa tunasahau ama kujisahalisha vitu mapema sanaa
Ohooooo wausika ni watoto wa viongozi na viongozi wenyeweKuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu.
Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje.
Ama ukiona hili gumu tujuze tu matokeo ya wale jamaa wa hazina waliojichotea hela kama vile hazina haina mwenyewe nitashukuru.
Tuendelee kulalamika hadi tuzeeke."Mama aliupiga mwingi" toka mwanzo na sasa tunaona unavyoendelea kuwa "mwingi"
Nami ningependa kujua yule binti DC aliishia wapi?
Huenda tukijua alipo sasa tunaweza kuanza kujenga hoja juu ya hii mada.
Mkuu 'Escrowseall', nikushukuru kwa kumbukumbu zako hizi. Mimi nilianza kulishangaa hili jambo lilivyochukuliwa toka mwanzo, na kama kawaida ya waTanzania, hakuna alieshtuka, na sasa wala hakuna anayekumbuka kama swala hilo liliwahi kutokea na kunyamaziwa kabisa.
Na pengine hadi leo mradi huo unafanya kazi kama kawaida, maanake hatukuona mabomba yaking'olewa!
Pengine huu ulikuwa ni mradi wa mama mwenyewe, maana alivyolichukua inashangaza sana.
Na haya mahela tunayowapigia kelele akina Mwigulu, si nawe ulisikia "STUPID"?
Hizi ndiyo njia mpya za kushughulikia haya maswala ya uhujumu. Sema neno moja ukionyesha hasira, halafu nyamaza, acha waTanzania wasahau. Ikifika 2025, hakuna atakayekumbuka chochote, hadithi ni za kupamba tu, kama tunavyoona sasa mabango kila sehemu za miji.
Nchi ya ajabu sana hii.
Nakumbuka hili lilitokea wakati wa mwenda zake, CHA AJABU HATA YEYE ALIKUWA MPOLE, AKIMUACHIA DC KAZI YA KUPIGA KELELE.Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu.
Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje.
Ama ukiona hili gumu tujuze tu matokeo ya wale jamaa wa hazina waliojichotea hela kama vile hazina haina mwenyewe nitashukuru.
Wa kitoto sanaKumbe ulipigwa mkwara!?
Ni wajingawajinga tuuduh ama kweli nchi hii ina matatizo
Ninavyochukia wahujumu uchumi yangekuwa maamuzi yangu hawa wote wakistahili shaba. Naheshimu mawazo yakoInaonekana unataka kujua kama watanzania bado wanafuatilia kesi yako?haya hongera baba umeshinda!
Hahaha...Baada ya kuandika hii mada siku 4 mbele nikatumiwa ujumbe .. Tunafahamu nyumba unayoishi hapo Kibada, endelea kuandika....
Thread 'Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni' Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni
Mungu katuepusha na mengiHahaha...
Na kipindi kile utekaji ulikuwa nje nje[emoji16]
Mama hausiki ilikuwa enzu za mitano tena"Mama aliupiga mwingi" toka mwanzo na sasa tunaona unavyoendelea kuwa "mwingi"
Nami ningependa kujua yule binti DC aliishia wapi?
Huenda tukijua alipo sasa tunaweza kuanza kujenga hoja juu ya hii mada.
Mkuu 'Escrowseall', nikushukuru kwa kumbukumbu zako hizi. Mimi nilianza kulishangaa hili jambo lilivyochukuliwa toka mwanzo, na kama kawaida ya waTanzania, hakuna alieshtuka, na sasa wala hakuna anayekumbuka kama swala hilo liliwahi kutokea na kunyamaziwa kabisa.
Na pengine hadi leo mradi huo unafanya kazi kama kawaida, maanake hatukuona mabomba yaking'olewa!
Pengine huu ulikuwa ni mradi wa mama mwenyewe, maana alivyolichukua inashangaza sana.
Na haya mahela tunayowapigia kelele akina Mwigulu, si nawe ulisikia "STUPID"?
Hizi ndiyo njia mpya za kushughulikia haya maswala ya uhujumu. Sema neno moja ukionyesha hasira, halafu nyamaza, acha waTanzania wasahau. Ikifika 2025, hakuna atakayekumbuka chochote, hadithi ni za kupamba tu, kama tunavyoona sasa mabango kila sehemu za miji.
Nchi ya ajabu sana hii.
Hii ya zamani, mwaka Jana au juzi Kuna mjuba alikodisha nyumba nzima kigamboni kwa KAZI hio ya kuiba mafutaUnamzungumzia Muro sio,
Alilipa Plea bargain akamalizana na serikali