Anaelekea kupata Mafao nimemshauri awekeze kwenye Bonds kakataa, anataka kufungua Baa

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu,

Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana

Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha. Atapata kama Milioni 60 hivi

Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦‍♂️

Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?

Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
 
Wakuu,

Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana

Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha.

Kitita kinasomaje
 
Mpe muda afilisike aje kukuomba msaada.
 
Hela zake we unamwita ana wenge?
 
Bonds ni mkakati murua ila usisahau, anatakiwa kuwa na mahala pa kumkeep busy ili akirudi nyumbani anakuwa amechoka.
 
Back
Top Bottom