Anaelekea kupata Mafao nimemshauri awekeze kwenye Bonds kakataa, anataka kufungua Baa

Wakuu,

Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana

Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha. Atapata kama Milioni 60 hivi

Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦‍♂️

Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?

Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Hatoboi
Bora ingekuwa ana uzoefu.
 
Angalia usije ukamuua.Akikomaa na Hilo wazi lake la baa,miezi sita atakuwa amefulia na kuanza kukupiga mizinga
 
Back
Top Bottom