hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Kama hataki Muunganishe na kajala wa Harmonize au Hamisa mobeto
ataipenda show
ataipenda show
Kama?Sema Wakuu kuna mengine mnajitakia alafu mnalaumu watu.
Ameshapotea huyu mzee,ataweza pilika za kuendesha bar?,kwa kumsaidia sana,mwambie achukue 50ml,aweke bonds,na 10ml,inatosha sana kufungua min good bar...(Bar ni counter na choo+ store!)+ Jiko!Wakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha. Atapata kama Milioni 60 hivi
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Tafuta vyako, urithi ni umasikiniMzazi kukujengeea haina maana kuwa wewe utakiwi kujenga na kuendelea kujenga bali ni kanuni ya uwajibikaji wa mzazi kwa watoto aliowaleta duniani kwa hiali yake...la sivyo kudingekuwa na matajiri duniani ..kila tajiri ufanya zaidi ya uhitaji wake ..unakuta tajiri anamiliko nyumba 50 wewe unadhani hizo nyumba kajijengea yeye tu? Bali kaji jengea yeye na familia yake wakiwemo watoto ....ni wajibu mzazi kuwafanikoshia maisha watoto wake bali ni fadhira kwa mtoto kumfanikishia maisha mzazi
Kama ni hivyo basi familia zote za kitajiri ni za kipumbavu ...unaposikia neno tajiri maana yake ni familia ...waafrica tuna akili finyu sana mali ya familia ni kama mali za serikali zilivyo ni mali za wananchi siyo ya rais na viongozi tu ...hivyo kudhani mali za familia ni mali za mzazi ni UANITHI WA AKILI ...kwa nini iwe sawa mtoto kumjengea Nyumba mzazi ila iwe haramu mtoto kutegemea nyumba au mali za familia ?Tafuta vyako, urithi ni umasikini
NIC walikuja kazini, wakaanza kunishawishi nijiunge na bima yao, kuna ya miaka mitano,kumi na bima ya maisha, yaani nikaona moyo wangu unakuwa mgumu sana, mwisho wa siku nikawaambia siko tayari kwa sasaHao wazee wengi wao walishajeruhiwa na serikali kupitia bima ya maisha ya NIC wakafyekwa mishahara yao kwa miaka 20 halafu wakadhulumiwa pesa zao.
Hawataki hata kuisikia serikali hao.
NB:Angejenga nyumba ya kupangisha tu zile za uswazi,finishing mbuzi apate hata 30K/room kama yupo mkoani huko
Hio 60m atapata kiasi gani kwa mwezi? 600kWakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha. Atapata kama Milioni 60 hivi
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Ni asilimia ngapi ni familia za kitajiri kwa wana JF? Achanana watanzania wote. Unajua maana ya urithi wewe? Kwa masikini ni kuuza na kugawana. Kwa matajiri ni kutunza mali za familia na kuziendeleza. Unaposema watoto wagawiwe, hapo unadhihirisha kuwa nawe ni kizazi cha kimasikini (baba afe ili mali zake tugawane), badala ya mentalityya kitajiri, ambayo kwanza inasikitika baba kufa maana watoto wanapewa jukumu la kuendeleza utajiri mfano Mo.Kama ni hivyo basi familia zote za kitajiri ni za kipumbavu ...unaposikia neno tajiri maana yake ni familia ...waafrica tuna akili finyu sana mali ya familia ni kama mali za serikali zilivyo ni mali za wananchi siyo ya rais na viongozi tu ...hivyo kudhani mali za familia ni mali za mzazi ni UANITHI WA AKILI ...kwa nini iwe sawa mtoto kumjengea Nyumba mzazi ila iwe haramu mtoto kutegemea nyumba au mali za familia ?
Lakini mjomba si ndio kamfuata kuomba ushauri? Kulikuwa na ulazima gani wa kuomba ushauri wakati ameshafanya maamuzi yake?Muache na hela zake ,,,, Hela za mjomba zinakuwashia nini ???? Yani mtu afanye utumishi wee uje umpangie afanye nini na mafao yake ?
Mwambie aongeze mke mwingine
Hao jamaa wahuni,hata ukichagua hiyo ya miaka mitano wanaweza kughushi ukajikuta kwenye bima ya maisha.NIC walikuja kazini, wakaanza kunishawishi nijiunge na bima yao, kuna ya miaka mitano,kumi na bima ya maisha, yaani nikaona moyo wangu unakuwa mgumu sana, mwisho wa siku nikawaambia siko tayari kwa sasa
Mwachee....Wakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha. Atapata kama Milioni 60 hivi
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Biashara ya bar ni ngumu sana , mwanzoni utaanza vizuri ila mbeleni wateja wanahama.Wakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha. Atapata kama Milioni 60 hivi
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Wapi nimetaja neno urithi ? Wapi nimesema watoto wagawiwe urithi ? Tumia akili wewe pimbi wa ccm .. kuwapa watoto pesa ya kujipambania na kuwawezesha na kuipambania familia ndiyo akili ya matajiri wote duniani ...huyo mstaafu umri umesha kwenda anaweza kuhalibu mambo na kusababisha matatizo tu kwenye familia ...hivyo ni bora kuweka nguzo nyingi kuliko nguzo moja ..hiyo pesa nusu anafanya aonavyo na nusu anaiwekeza kwa watoto ...hii ndiyo akili.Ni asilimia ngapi ni familia za kitajiri kwa wana JF? Achanana watanzania wote. Unajua maana ya urithi wewe? Kwa masikini ni kuuza na kugawana. Kwa matajiri ni kutunza mali za familia na kuziendeleza. Unaposema watoto wagawiwe, hapo unadhihirisha kuwa nawe ni kizazi cha kimasikini (baba afe ili mali zake tugawane), badala ya mentalityya kitajiri, ambayo kwanza inasikitika baba kufa maana watoto wanapewa jukumu la kuendeleza utajiri mfano Mo.
Matusi si mtajiWapi nimetaja neno urithi ? Wapi nimesema watoto wagawiwe urithi ? Tumia akili wewe pimbi wa ccm .. kuwapa watoto pesa ya kujipambania na kuwawezesha na kuipambania familia ndiyo akili ya matajiri wote duniani ...huyo mstaafu umri umesha kwenda anaweza kuhalibu mambo na kusababisha matatizo tu kwenye familia ...hivyo ni bora kuweka nguzo nyingi kuliko nguzo moja ..hiyo pesa nusu anafanya aonavyo na nusu anaiwekeza kwa watoto ...hii ndiyo akili.
Matusi si mtaji
Baba yako kauza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe..Matusi si mtaji