Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Kwani ilikuwa lazma akuskilize? Kashapiga hesabu zake mwache ale maishaWakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha. Atapata kama Milioni 60 hivi
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?