tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Kitita kinasomajeWakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha.
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Mpe muda afilisike aje kukuomba msaada.Wakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha.
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Muache na hela zake ,,,, Hela za mjomba zinakuwashia nini ???? Yani mtu afanye utumishi wee uje umpangie afanye nini na mafao yake ?
Mwambie aongeze mke mwingine
Hela zake we unamwita ana wenge?Wakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha.
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Kuna Prof amestaf naye kafungua bar ana umri 65+, sasa sijajua lengo lakeHahahaaa!! Bar uzeeni. Bila Shaka anataka kufilisika.
Kazi ni kipimo cha utu
Hela zake we unamwita ana wenge?
Bonds ni mkakati murua ila usisahau, anatakiwa kuwa na mahala pa kumkeep busy ili akirudi nyumbani anakuwa amechoka.Wakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za Serikali (Bonds) ili apate mshahara wa bure (coupon) kila mwezi bila presha.
Ila yeye ananiambia yeye anataka kuchukua hizo mamilioni kwenda kufungua BAA! 🤦♂️
Hivi watu huwa wanachukulia biashara ya baa kirahisirahisi hivi?
Wenye baa huyu mzee anatoboa kweli?
Ushauri sio sheria, mtu anaweza kuupokea au kuukataaALINIOMBA USHAURI
Unasoma kwa kutumia macho au Makebo?
Zinaanzia shilingi ngapi ili uruhusowe kununua bondsBonds ni mkakati murua ila usisahau, anatakiwa kuwa na mahala pa kumkeep busy ili akirudi nyumbani anakuwa amechoka.
HahahaHuyu akipataga hela anaweza akapotea hata wiki mbili nyumbani
Ndo maana nikasema ana wenge mkuu