Anaesema TBC wanarusha matangazo yao HD huyo hana tofauti na taahira

Attachments

  • Screenshot_2025-12-23-23-58-47-138.jpg
    Screenshot_2025-12-23-23-58-47-138.jpg
    138.4 KB · Views: 8
TBC siyo HD kwasababu hata mshirika wake Startimes hana Ving'amuzi vya HD mpaka leo, Kampuni ya Startimes inaishi Yuma ya muda.
 
Acha kupotosha umma. TBCCM nawachukia kweli kweli ila jamaa wanarusha HD tena Full HD kwenda kwenye satellite kuu intelsat. Ila hawa wenye ving'amuzi ndo wanaidowngrade feed yao kuwa SD 480p. Chanzo hiki hapa

Si hao tu, Kuna Arise and shine ya mwamposa nae anarusha HD, TVE ya majizo anarusha HD, baadhi ya channels za dini kama Habari Maalum Media wanarusha HD.

Ili warushwe HD na let say DSTV inapaswa walipie gharama za quality hiyo. Sababu channel moja ya HD inakula nafasi kubwa kwenye transponder ni sawa na kurusha channels 2+ SD.
 
Kumbe ndiyo hivyo, Ni vizuri Serikali kupitia Wzira ya Habari itunge sheria ya kurusha Full HD kwenye kila King'amuzi kama wanavyofanya DSTV, Ukiangalia mpira kwenye King'amuzi cha DSTV unafurahia Uzuri wa picha ni tofauti ukiangalia mechi AZAM, na Kwanini mpaka leo STARTIMES hawatoi huduma ya HD kwenye Ving'amuzi vyao kama wameshindwa kazi bora waondoke nchini wale Wachina wa Tido Muhando.
 
TBC hawarushi HD mkuu acha kupotosha umma, TBC ya DStv na Azam tv zote vilevile
 
Acha kupotosha umma. TBCCM nawachukia kweli kweli ila jamaa wanarusha HD tena Full HD kwenda kwenye satellite kuu intelsat. Ila hawa wenye ving'amuzi ndo wanaidowngrade feed yao kuwa SD 480p. Chanzo hiki hapa

Si hao tu, Kuna Arise and shine ya mwamposa nae anarusha HD, TVE ya majizo anarusha HD, baadhi ya channels za dini kama Habari Maalum Media wanarusha HD.

Ili warushwe HD na let say DSTV inapaswa walipie gharama za quality hiyo. Sababu channel moja ya HD inakula nafasi kubwa kwenye transponder ni sawa na kurusha channels 2+ SD.
Unapotosha.
Labla kwa kuwa hujui hizi ishu zinavyofanya kazi.
Mm nafanya kazi kwenye tv fulani hapa bongo.

Tatizo halipo kwenye king'amuzi Bali ni tv husika.
Tv husika ndio wanalipia ubora wa muonekano wao uweje na sio king'amuzi, sasa king'amuzi kitalipiaje TV channels Wakati Sio wamiliki?

Mfano, king'amuzi cha azam wana channel zao zipo tisa kama wamiliki Kwenye hicho king'amuzi, hizo channel Ndio wao wanazilipia kuonyeshwa kwa muonekano fulani na sio hizo channel zingine.

Simple tuu, angalia itv au TBC kwenye dstv afu angalia hizo hizo channel Kwenye ving'amuzi vingine Afu uje useme kama kuna utofauti.
Pia uje useme dstv Wana full HD au hawana.

Pia kumbuka, TV kuonyeshwa kwa muonekano fulani haulipii kwenye king'amuzi inayoonyesha hiyo TV yako.
 
Kumbe ndiyo hivyo, Ni vizuri Serikali kupitia Wzira ya Habari itunge sheria ya kurusha Full HD kwenye kila King'amuzi kama wanavyofanya DSTV, Ukiangalia mpira kwenye King'amuzi cha DSTV unafurahia Uzuri wa picha ni tofauti ukiangalia mechi AZAM, na Kwanini mpaka leo STARTIMES hawatoi huduma ya HD kwenye Ving'amuzi vyao kama wameshindwa kazi bora waondoke nchini wale Wachina wa Tido Muhando.
Jamaa muongo huyo
 
TBC ile hata 480 haifiki,nadhani iko kwenye 240 hivi.
😂 240 Hapana mkuu, hii huwezi kuona kitu.

TV zote duniani zinaanzia 480 ambayo h n standard definition, sasa hapa ndio kuna hao itv, TBC, eatv na hao wenzao

Ila channel zinazomilikiwa Na azam tv zinaanzia 720 ambayo hii n HD
 
Back
Top Bottom