Anaesema TBC wanarusha matangazo yao HD huyo hana tofauti na taahira

Hata ubora wa Tv nao ni hoja.
Upo sahihi mkuu, na sijui kwann hii kitu watu hua hawaizungumzii wakat n kitu muhimu sana.

Ukiwa na tv ya UHD inches 50+ Ukiangalia Hizi tv za kibongo akina itv, TBC na hao wengine muonekano wao ni tofauti ukiwa na tv ya SD inches 32-

Unakuta mtu ana Smart TV, UHD, inches 50+ Halafu anaangalia TBC na itv 😂 hiki ni kichekesho
 
😂 240 Hapana mkuu, hii huwezi kuona kitu.

TV zote duniani zinaanzia 480 ambayo h n standard definition, sasa hapa ndio kuna hao itv, TBC, eatv na hao wenzao

Ila channel zinazomilikiwa Na azam tv zinaanzia 720 ambayo hii n HD
mkuu,embu kama una smart tv fungua youtube stream 480,halafu kaangalie tena tbc au startv,labda mimi naona vibaya.
 
Jamaa muongo huyo

Bila shaka haujui mfumo wa uplinking kwa transmition ukoje kutoka kwa source kwenda kwa satellite company sio hao multiplexers uliowataja, Pole mkuu. Kwa sasa Elimu ni bure itumie. Comment yangu ina source hapo ikague vizuri utaelewa kidogo pa kuanzia.
 
TBC hawarushi HD mkuu acha kupotosha umma, TBC ya DStv na Azam tv zote vilevile

Nimetoa source hapo kama uthibitisho. Kama una muda nakushauri watembelee Kwanza TBC ni bure omba appoitment, waulize mfumo wa uplinking kutoka kwenye transmition yao kwenda intelsat 22 ni SD au HD, Kisha wakikupa majibu toka hapo nenda mawasiliano towers kwa appoitment waulize channels gami Tanzania zinazofanya uplinking kwenda kwa satellite kwa quality ya HD na sio SD, utapewa list yote bure!! Kisha rudi hapa ucomment hiyo list utayopewa.

Hao hao DSTV na azam kuna channels za makampuni mengine zina feed ya HD ila wamezidowngrade na kurusha SD kwa makusudi unajua ni kwa nini? Chukua notebook nenda Azam TV headquarters waulize kwanini discovery channels wao azam wanarusha SD wakati wenye hiyo hizo channels wanarusha HD na kwenye ving'amuzi vya USA huku na UK unazitazama kwa HD? Waulize kwanini Cartoon network ya paramount wao azam tv wanarusha SD wakati wenye hiyo channel wanarusha HD kwenye satellite, na hata kwa DSTV iko HD, kwani HD feed hawajaiona? Andika watakachokujibu kisha ukilete hapa.

Ingia hapa kisha soma uniambie umeona nini? Azam na startimes kimewashinda nini kuvuta feed halisi ya hawa jamaa

Cartoon Network - Wikipedia

Citizen TV mwaka jana au juzi hivi walianza kufanya uplinking ya HD kwenye feed yao. Ili DSTV waiweke feed ya HD ilibidi wakubali kuwalipa multichoice gharama walizowatajia za bandwith ya hd kwenye king'amuzi chao. Ndipo feed ya SD ikatolewa wakaungwa na feed ya HD! Ila citizen tv hiyo hiyo inayorushwa Azam tv ni SD waulize ni kwa nini? Waliulize hao azam pia ni kwa nini wanarusha channel ya KIX Kwa quality ya SD wakati wenye hiyo channel wanabroadcast kwa HD? Kwamba africa nzima channels zinazorushwa hd ni azam 1,2,3,4, UTV na.sinema zetu pekee? 😂😂😂 Mmepewa walichotaka mkione sio mnachotaka mkione. Mkifungua macho hivyo ving'amuzi mtavitupa mtatafuta FTA.

Ndo ujue huko africa hao wenye ving'amuzi wana njaa mno wanaweka pesa mbele kuliko quality.

Nakupa kazi moja sasa, Tafuta FREE TO AIR receiver yenya mfumo wa H.265, tafuta dish la kuanzia futi 6 hadi 8 kisha anza kukagua channel moja moja inayorushwa HD kati ya hizo nlizokutajia, ziangalie zinazopita kwa beam ya ukanda wa jangwa wa sahara kisha tafuta frequencies zake uzitazame! Kwa kuwa upo tanzania anza na tbc itafute kwa frequencies zake zipo kwenye source niliyoitoa ya intelsat 22. Utaipata 1, 2 na Tanzania safari channel kwa true HD! Kwenye fta receiver ya h 265.

Mliopo africa msiwaamini hao wenye ving'amuzi uchwara sijui azam/startimes/zuku hata DSTV wanawapa kile wanachotaka wao mkione na sio uhalisia!

Dstv ya South africa na ya Tanzania channels zao ni tofauti kwenye qualities na hilo hawatowaambia ukweli. Waliopo south watakuja hapa kusema ukweli.

Hii ishu ipo hadi kwenye vinywaji, Soda ya marekani na mnayokunywa huko Tanzania zina ladha tofauti! Tafuta cocacola ya kopo iliyopo kwenye supermarket kubwa huko bongo kisha tafuta coca ya chupa mnazouziwa kwa 700 kunywa utoe mrejesho!

Hata mshindi wa kiti cha urais wamewapa wanayemtaka sio yule mnaemtaka 😂😂😂😂😂 poleni sana.
 
Hapo kunavitu viwili kuna Chombo mfano TBC yawezekana warusha HD lets say 1280x720 kwenda kwa Azam au Startimes nk .. Ila Ikawa Azam na Startimes wakawa hawarushi HD wakififisha SD 720x480
Kwamba nichukue juice kwako ila nikifika nayo nyumbani ibadilke kuwa maji???🤣🤣🤣🤣
 
Kudos Maelezo Clear ataebisha labda awe Muha
 
Back
Top Bottom