Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa umenichekesha aisee.....sasa siye ambao gari zetu full kunuka petrol ndo tumekosa siyo!
Piiiiipiiiiii ...! unasikia anasema mimi unamwambia enhee ingia twende hachomoi mkuu...[emoji1]

Nb:Chuma kiwe cha ukweli sasa sio tubovu tubovu kinanuka petrol
 
Gari ikinuka petrol ni sawa na Jenereta hutoboi mkuu[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa umenichekesha aisee.....sasa siye ambao gari zetu full kunuka petrol ndo tumekosa siyo!
 
Ha ha ha ha. Utatapeliwa mchana peupe
 
Hao jamaa ni wazungu?? Kama ni wazungu chukua gari van guard mzee hio gari ni noma sana. Ukifanya kazi na wazungu project zao znavoisha hayo ndo matunda hawa jamaa sio wachoyo kama wahindi, waharabu nk. Mzungu huwa anaacha vitu kama alikodi nyumba anakupa kila kitu cha ndani gari anakuachia kiroho safi kwao ni vitu vya kawaida hivo. Tupe mrejesho huu uzi toka January ulifanikiwa??
 
Kwasababu ni matajiri na wana maisha ya kitajiri.
 
Gari hizo kwa shape ni tofauti, ila kwa upande wa mifumo ya Engine, kwa matoleo hayo uliyoweka picha yanatumia Engine zinazofanana yaani 2AZ-FE, ikiwa na CC 2362(2400)!
Kwa hiyo uchaguzi wako utategemea tu muonekano(Car Rendering/architecture) na siyo perfomance kwani kili kitu ni sawa sawa tu kwa mifumo ya Engine na Gear Box
 
Umeniua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…