Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa
Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua yaani jitu jeusi tena dume zima lipo kwenye ardhi yake ya taifa lake linalala kabisa halafu mjinga mmoja kutoka china analipiga bakora aisee vitu hivi vinahudhunisha na kuchekesha Kwa wakati mmoja hii sio kazi Bali ni msingi wa umasikini