Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Zile ni handi tu mauthiKwa hizo mishe za viwandani hapana Bora uuze kandoro utatoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile ni handi tu mauthiKwa hizo mishe za viwandani hapana Bora uuze kandoro utatoboa
Achana na ukisoma hivi umeshafanya biashara kihalali na ukapata mafanikiomtaji ni akili zenu, ondoeni mentality ya eti ukisoma ni lazima uajiriwe ndio utapata maisha bora
Sawakijana, akili ndio mtaji wako.
Halafu akipata hela ananunua bajaji milioni 10 halafu anampa mtu amletee elfu 20 kwa siku 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Ndio wajinga wenyewe Sasa hao yaani unafanya kazi ya kujitolea kisa umeahidiwa kazi akili Gani hii je usipopewa hiyo kazi inamaana utakua umepoteza mda wako bure
Ila fikra kama hizi ni tatizo aisee. Mkuu Dunia hapa unapa unachokitafuta. Mungu hajawapangia hao kufanya hiyo kaziMkuu kama we Mungu kakujaalia shukuru, waombee nao wajaaliwe kama wewe.....hakuna mtu anapenda kuishi kwa mateso hivyo.
Kama una msaada wasaidie kama hauna usiwasimange.
Mkoa wa pwani miaka 10 mbele utakuwa na watoto wengi wa kichina wanaoongea kizaramoKuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa
Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua yaani jitu jeusi tena dume zima lipo kwenye ardhi yake ya taifa lake linalala kabisa halafu mjinga mmoja kutoka china analipiga bakora aisee vitu hivi vinahudhunisha na kuchekesha Kwa wakati mmoja hii sio kazi Bali ni msingi wa umasikini
Ndo bado wanatafuta hizo zinazofaaIla fikra kama hizi ni tatizo aisee. Mkuu Dunia hapa unapa unachokitafuta. Mungu hajawapangia hao kufanya hiyo kazi
Hujayajuwa maisha bro, usifikiri hawana akili, vitu vyote vimegoma, elimu huna,ajira ngumu, na familia inahitsji mahitaji, utafanya nini? Kama wewe kwa namna moja au nyingine, upo sehemu nzuri, sio kwa vile una akili Sana kuwazidi it's just life,Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa
Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua yaani jitu jeusi tena dume zima lipo kwenye ardhi yake ya taifa lake linalala kabisa halafu mjinga mmoja kutoka china analipiga bakora aisee vitu hivi vinahudhunisha na kuchekesha Kwa wakati mmoja hii sio kazi Bali ni msingi wa umasikini
We utakua unafanya kazi kiwandani s unajipa sifa ambazo huna dunia Haina hurumaHujayajuwa maisha bro, usifikiri hawana akili, vitu vyote vimegoma, elimu huna,ajira ngumu, na familia inahitsji mahitaji, utafanya nini? Kama wewe kwa namna moja au nyingine, upo sehemu nzuri, sio kwa vile una akili Sana kuwazidi it's just life,
Wakati nasoma msingi, miaka hiyo ya 90,natembea kilomita 5 kila siku, nakalia mawe shuleni,nashinda njaa siku nzima,
Nilijiuliza kwa nini Mimi maskini?
Fast forward Leo, 2024,watoto wangu wanapelekwa shule na kufatwa na V8! Driver akichelewa, wanalalamika, siku moja wakiwa wanaenda shule, nikawauliza hawa watoto wengine wanaotembea kwa miguu na kidumu na fagio, kwa nini hawapandi basi?
Wakasema baba zao hawana uwezo!
Mtoto wangu haelewi inawezekana vipi kwenda shule kwa miguu! Kuwa humble bro!
Hao wanaopigika kwa wahindi na mchina, ni kwamba wamekosa fulsa nzuri tu,
green tea 🤣🤣Hujayajuwa maisha bro, usifikiri hawana akili, vitu vyote vimegoma, elimu huna,ajira ngumu, na familia inahitsji mahitaji, utafanya nini? Kama wewe kwa namna moja au nyingine, upo sehemu nzuri, sio kwa vile una akili Sana kuwazidi it's just life,
Wakati nasoma msingi, miaka hiyo ya 90,natembea kilomita 5 kila siku, nakalia mawe shuleni,nashinda njaa siku nzima,
Nilijiuliza kwa nini Mimi maskini?
Fast forward Leo, 2024,watoto wangu wanapelekwa shule na kufatwa na V8! Driver akichelewa, wanalalamika, siku moja wakiwa wanaenda shule, nikawauliza hawa watoto wengine wanaotembea kwa miguu na kidumu na fagio, kwa nini hawapandi basi?
Wakasema baba zao hawana uwezo!
Mtoto wangu haelewi inawezekana vipi kwenda shule kwa miguu! Kuwa humble bro!
Hao wanaopigika kwa wahindi na mchina, ni kwamba wamekosa fulsa nzuri tu,
Mkuu cha kwanza ungesema ni serikali kutojari raia wake.atizo la kwanza ni wananchi wenyewe hawajitambui, cha pili ni Serikali kushindwa kuweka Sheria rafiki kwa wafanyakazi wa Nchi yake.
Mkuu wamuige nani aliyejiajiri?Hawa vijana wetu wanaohitimu ngazi mbalimbali za elimu wasiwe wavivu wa kuanzisha shughuli zao binafsi kupata hela. Kama msetifiketi unaona haukupatii ajira staha weka sandukuni ingia mitaani fanya kitu halali cha kukupatia fedha au nenda shambani kalime na ufuge. Hii ya kukimbilia vibarua huko ni kwenda kurutubisha umasikini wa kujitakia