Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Unaweza ukakuta akamuibiaKuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa
Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua yaani jitu jeusi tena dume zima lipo kwenye ardhi yake ya taifa lake linalala kabisa halafu mjinga mmoja kutoka china analipiga bakora aisee vitu hivi vinahudhunisha na kuchekesha Kwa wakati mmoja hii sio kazi Bali ni msingi wa umasikini
DuuhUnaweza ukakuta akamuibia
Aisee huwa nashangaa haswa viwanda vya kibaha watu wanahenyeshwaPale si umasikini tu na ujinga umo. Kwamza ni utumwa kulipwa ujira mdogo
Duh! Bro,sijui ni serikali haijali,au ni watu wenyewe hawajitambui. Kufanya kazi kwa wale watu,kunahitaji kujenga ujinga kiasi furani. Manyanyaso na mishahara yao,bora ukalime mboga mboga au uajiliwe sehemu nyingine. Sema tu utakuta watu wengine wanafata mkumbo,kwamba kuna chama cha wafanyakazi kitawatetea,na mambo mengine. Ile kazi huwezi kuendelea. Mshahara wenyewe utatoa,madeni yanazidi mshahara. Kulipwa, wengine atakupa nusu nusu mpaka iishe,kila baada ya wiki. Pesa isiyokuwa na msaada wowote. Sema tu ngozi nyeusi wenyewe hatupendani, kuna watu wengi wana fursa za maisha, lakini hawawastui wenzao.Unaweza ukakuta akamuibia
Upo sahihi kabisa Jana nimetoka huko kibaha aisee ni maumivu Kuna jamaa kawashwa kibao na mchina halafu akawa anachekacheka tu aisee mijitu mieusi ni shidaTatizo la kwanza ni wananchi wenyewe hawajitambui, cha pili ni Serikali kushindwa kuweka Sheria rafiki kwa wafanyakazi wa Nchi yake.
Marekani na baadhi ya nchi za ulaya wafanyakazi wa ndani(mabeki tatu) wana mikataba na kiwango cha kuwalipa kimewekwa kabisa ukikiuka jela inakuhusu pamoja na faini juu,
Ila nchi zetu hizi wafanyakazi sheria haziwalindi zinawalinda zaidi maboss na hata hizo chache nazo zinazowalinda waajiriwa bado zinapotoshwa kwasabab ya rushwa na uonevu,
Kiufupi Tanzania ni Nchi mfano wa jalala la Takataka ukifukua hukosi mavi.
Mkuu kama we Mungu kakujaalia shukuru, waombee nao wajaaliwe kama wewe.....hakuna mtu anapenda kuishi kwa mateso hivyo.Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa
Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua yaani jitu jeusi tena dume zima lipo kwenye ardhi yake ya taifa lake linalala kabisa halafu mjinga mmoja kutoka china analipiga bakora aisee vitu hivi vinahudhunisha na kuchekesha Kwa wakati mmoja hii sio kazi Bali ni msingi wa umasikini
Hamna Cha kujaaliwa Wala nini wote tunajua life ni mapambano Sasa mtu anaruhusu kudhalilishwa na wajinga Fulani kutoka china kisa elfu 5 huyo mtu kwenye maisha yake haji kutoboa zaidi atakua anatafuta hela ya kulaMkuu kama we Mungu kakujaalia shukuru, waombee nao wajaaliwe kama wewe.....hakuna mtu anapenda kuishi kwa mateso hivyo.
Kama una msaada wasaidie kama hauna usiwasimange.
Jana hiyo jamaa kalambwa kibao akawa anachekacheka tuhuo ni us*nge sana, huwezi kunipiga kibao nikakuacha salama hata kidogo!
Unajua Kuna watu hawajui kama umasikini nao unaweza kuujengea msingi mpaka unaondoka duniani wewe ni WA kutumikishwa tu na kuchekacheka hovyo mbele ya bosiHawa vijana wetu wanaohitimu ngazi mbalimbali za elimu wasiwe wavivu wa kuanzisha shughuli zao binafsi kupata hela. Kama msetifiketi unaona haukupatii ajira staha weka sandukuni ingia mitaani fanya kitu halali cha kukupatia fedha au nenda shambani kalime na ufuge. Hii ya kukimbilia vibarua huko ni kwenda kurutubisha umasikini wa kujitakia
Unalimaje bila mtaji na mtaji utaupata vipi bila kufanya vibarua.Hawa vijana wetu wanaohitimu ngazi mbalimbali za elimu wasiwe wavivu wa kuanzisha shughuli zao binafsi kupata hela. Kama msetifiketi unaona haukupatii ajira staha weka sandukuni ingia mitaani fanya kitu halali cha kukupatia fedha au nenda shambani kalime na ufuge. Hii ya kukimbilia vibarua huko ni kwenda kurutubisha umasikini wa kujitakia
Usimcheke muhurumie,unajua umasikini ni circumstances,na si kitu kinachoondoka mara moja kwa kutumia pesa tu,hapanaKuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa
Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua yaani jitu jeusi tena dume zima lipo kwenye ardhi yake ya taifa lake linalala kabisa halafu mjinga mmoja kutoka china analipiga bakora aisee vitu hivi vinahudhunisha na kuchekesha Kwa wakati mmoja hii sio kazi Bali ni msingi wa umasikini
Bora anaekaa kwao anasaidia kazi za wazazi ipo siku anaweza akakumbukwa kwenye urithi wa familia yao kuliko mjinga mmoja anaekubali kutumikishwa na wachina na kupigwa mda mwingine kisa 5000 hapo hamna kitu anachokifanya Bora afeUkikaa kwenu tu bila kutoka huenda usielewe
Kwa hizo mishe za viwandani hapana Bora uuze kandoro utatoboaBro kama upo mahali wanakulipa vizuri shukuru sana Mungu, elewa tu kwamba hakuna mtu mjinga, kwa ground mambo hayapo kama tunavyoambiana jf.
SEMA SANA, TAMBA SANA, CHEKA SANA, ILA OMBA YASIKUKUTE .