Anahitajika binti wa kazi mwadilifu wa kulea watoto wawili

Anahitajika binti wa kazi mwadilifu wa kulea watoto wawili

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini.

Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam

Idadi ya watoto: Wawili

Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948

images (9).jpeg
 
Anahitajika binti mwadilifu wa kulea mtoto wa kike wa nursery
Eneo la kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam
Mawasiliano: 0684054688
Haki za binadamu zitazingatiwa

images (3).jpeg
 
Anahitajika binti mwadilifu wa kulea mtoto wa kike wa nursery
Eneo la kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam
Mawasiliano: 0684054688
Haki za binadamu zitazingatiwa

View attachment 2077663

Hajapata hadi leo?

Mwambie aende kwenye makampuni wanaofundisha na kutaftia mabinti kazi

Joyce Kiria anao wa kutosha kwenye kampuni yake
 
Hajapata hadi leo?

Mwambie aende kwenye makampuni wanaofundisha na kutaftia mabinti kazi

Joyce Kiria anao wa kutosha kwenye kampuni yake
Nashkuru sana kwa Ushauri wako, Mungu akujalie Afya njema, Upendo, Amani na Furaha itawale daima kwako
 
Back
Top Bottom