Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Mshahara bei gani?Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini.
Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over
Idadi ya watoto: Wawili
Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948
View attachment 2039389
Wa wasiliane na mama wa watoto hao, haki za binadamu zitazingatiwa.Mshahara bei gani ?
Anahitajika binti mwadilifu wa kulea mtoto wa kike wa nursery
Eneo la kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam
Mawasiliano: 0684054688
Haki za binadamu zitazingatiwa
View attachment 2077663
Huyo ni mwingineHajapata hadi leo?
Mwambie aende kwenye makampuni wanaofundisha na kutaftia mabinti kazi
Joyce Kiria anao wa kutosha kwenye kampuni yake
Nashkuru sana kwa Ushauri wako, Mungu akujalie Afya njema, Upendo, Amani na Furaha itawale daima kwakoHajapata hadi leo?
Mwambie aende kwenye makampuni wanaofundisha na kutaftia mabinti kazi
Joyce Kiria anao wa kutosha kwenye kampuni yake