Anahitajika mchumba

Anahitajika mchumba

Mtu unaandika tu direct kuwa unatafuta mchumba bila kuandika jinsia yako, hivi tukisema usijali utapata mume tutakuwa tunakutusi?
PM inajaa mkuu nadhani ungesoma kwenye (. ) Ungeelewa tu mwenyewe kuwa mwabdishi Ni me au Ke. Punguza haraka
 
PM inajaa mkuu nadhani ungesoma kwenye (. ) Ungeelewa tu mwenyewe kuwa mwabdishi Ni me au Ke. Punguza haraka
Mkuu embu toa your early testimony..tayari wameshamiminika pm and are they serious?
 
This remains personal please. Haiwezi kua haraka hivi kutoa testimony mkuu
Yaani mkuu kusema kuwa pm nishapata wanaokuja au la nalo ni personal?.ningeuliza ID zao labda ndo ingekuwa ishu.

Anyway,kila la kheri
 
Back
Top Bottom