Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

mitindo huru Unique Flower alimaanisha umjibu kuhusu hili
 
mitindo huru Unique Flower alimaanisha umjibu kuhusu hili
Asante kwa ushauri, ila ningependa niwe mkweli katika hili kwamba malipo, masharti na sifa za mwanamke/msichana zitabaki hivyo hivyo kama tangazo lilivyo.
Ila kwenye malipo inaweza kuongezeka kulingana na juhudi pamoja na ushirikiano kutoka kwa msichana/mwanamke husika kipindi cha ujauzito na baada ya kujifungua kwa kipindi cha mwaka mmoja wa kumnyonyesha mtoto
 
Kwani wewe ndio mbebaji
 
Nitakubali ukitoa ml 100 halafu uninunulie Mercedes Benz halafu uhakikishe baada ya kupata mtoto wako amjue mamy wake aliyemzaa hata akitunzwa na kupewa malezi mengine na unitafutie kazi nzuri.
Asante kwa maoni dada,
Kwa sasa naomba malipo, masharti, na sifa za mwanamke/msichana ziwe kama zilivyo katika tangazo,
Ila malipo na bonasi zingine zinaweza kuongezeka kulingana na juhudi pamoja na ushirikiano kutoka kwa msichana mwanamke/husika kipindi cha ujauzito na baada ya kujifungua.
 
Ila jamani hawa watoto wa hivi sijui itakuaje
Wamezidi kwa kweli huku ni kuingilia nature sasa na uumbaji

Wanaweza kuwa watoto wa kawaida kabisa maana wamefanya utafiti mwingi sana na majaribio mengi mpaka kufika hapo
 
Mi nawazo zuri uliza wazo gani nitakupa jibu ila mie nimejitoa huko??
 
Wamezidi kwa kweli huku ni kuingilia nature sasa na uumbaji

Wanaweza kuwa watoto wa kawaida kabisa maana wamefanya utafiti mwingi sana na majaribio mengi mpaka kufika hapo
Sina hakika wawe 100% sawa, unaona yale mayai ya kisasa? Tunayala lkn wakati wa kuyavunja yana shombo moja balaa, hata ukivunja kwenye chombo cha plastic unatamani hata ukitupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…