mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maradhi kwa mtoto atatajiwaye (kwa mawazo yangu....atakujibu mwenyewe)Nlikuwa nauliza kwanini asiruhusiwe kufanya sex pindi ana mimba au akishajifungua.?
mitindo huru Unique Flower alimaanisha umjibu kuhusu hiliKwakuwa ni swala linalohusisha uhai wa mtu na kuhusisha kiumbe chenye muunganiko kihisia na kidamu alitakiwa azingatie hilo na awake hela kubwa ili angalau iwe rahisi kwa wanaoweza kurisk.
Lakini pia atoe room ya second part ku bargain.
Ila mafuta akuwekee kwa miaka 5 na ajira ya kudumu akupatie mbali na hizo hela.
Access ya mtoto nayo upewe angalau ujue proceedings za mwanao...
Sababu mkishafanya sex hio mmeshakua mme na mke, hivyo hakutokua na mkataba tena,Nlikuwa nauliza kwanini asiruhusiwe kufanya sex pindi ana mimba au akishajifungua.?
Nitakubali ukitoa ml 100 halafu uninunulie Mercedes Benz halafu uhakikishe baada ya kupata mtoto wako amjue mamy wake aliyemzaa hata akitunzwa na kupewa malezi mengine na unitafutie kazi nzuri.Nikujibu nini ndugu?
mitindo huru Unique Flower alimaanisha umjibu kuhusu hili
Asante kwa ushauri, ila ningependa niwe mkweli katika hili kwamba malipo, masharti na sifa za mwanamke/msichana zitabaki hivyo hivyo kama tangazo lilivyo.mitindo huru Unique Flower alimaanisha umjibu kuhusu hili
Kwani wewe ndio mbebajiAsante kwa ushauri, ila ningependa niwe mkweli katika hili kwamba malipo, masharti na sifa za mwanamke/msichana zitabaki hivyo hivyo kama tangazo lilivyo.
Ila kwenye malipo inaweza kuongezeka kulingana na juhudi pamoja na ushirikiano kutoka kwa msichana/mwanamke husika
Duh, mshaanza kushukiana dauNjoo na yai lako nikubebee for the 25M bila hizo extra rupurupus!
Asante kwa maoni dada,Nitakubali ukitoa ml 100 halafu uninunulie Mercedes Benz halafu uhakikishe baada ya kupata mtoto wako amjue mamy wake aliyemzaa hata akitunzwa na kupewa malezi mengine na unitafutie kazi nzuri.
Umeona mbali sana kiongoziWatoto wachanga ni chakula Bora kwa waabudu shetani
Anakuja na yai lake me nabeba tu so hizo extra costs atamlipa aliyemuuzia yaiDuh, mshaanza kushukiana dau
Wamezidi kwa kweli huku ni kuingilia nature sasa na uumbajiIla jamani hawa watoto wa hivi sijui itakuaje
Mi nawazo zuri uliza wazo gani nitakupa jibu ila mie nimejitoa huko??Asante kwa maoni dada,
Kwa sasa naomba malipo, masharti, na sifa za mwanamke/msichana ziwe kama zilivyo katika tangazo,
Ila malipo na bonasi zingine zinaweza kuongezeka kulingana na juhudi pamoja na ushirikiano kutoka kwa msichana mwanamke/husika kipindi cha ujauzito na baada ya kujifungua.
Wewe unaoffer nini?Anakuja na yai lake me nabeba tu so hizo extra costs atamlipa aliyemuuzia yai
Sina hakika wawe 100% sawa, unaona yale mayai ya kisasa? Tunayala lkn wakati wa kuyavunja yana shombo moja balaa, hata ukivunja kwenye chombo cha plastic unatamani hata ukitupeWamezidi kwa kweli huku ni kuingilia nature sasa na uumbaji
Wanaweza kuwa watoto wa kawaida kabisa maana wamefanya utafiti mwingi sana na majaribio mengi mpaka kufika hapo