Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kweli kabisa ilikuwa kwa wenye uhitaji zaidi ila sasa kila mmoja anatakaSema tu watu Wana misuse. IVF was a great breakthrough for people with fertility problems.
Sasa wengine hata hawana matatizo wanatumia tu fursa
Inaruhusiwa ndugu, pia sijaweka sharti kwamba lazima awe ajazaa kabisa , hata kama mtu ana watoto anaruhusiwa jambo la msingi awe na sifa nilizoandikaSurrogacy haikubaliwi kwa msichana! Lazima awe ashazaa angalau mara moja mkuu
Why hutaki yai lako litumike?Yai sio langu,
Kitu hujui uliza! Tuna uzoefu wa miaka na hii kitu na wala si mtoto mmojaInaruhusiwa ndugu, pia sijaweka sharti kwamba lazima awe ajazaa kabisa , hata kama mtu ana watoto anaruhusiwa jambo la msingi awe na sifa nilizoandika
Hata mjini hawezi kukosa. Hiyo pesa utasota miaka na miaka huipati.Wa mimba ni kazi .
Nenda kijijini utapata mtu sahihi Tena ambaye tayari anamtoto atakubali na hiyo hela kwake ni nyingi mjini weh utasaga miguu kweli Nakadori
Ongea nae vizuri, huenda anaweza kucompromiseSina vigezo😀
Upo sahihi kabisaSema tu watu Wana misuse. IVF was a great breakthrough for people with fertility problems.
Sasa wengine hata hawana matatizo wanatumia tu fursa
Anataka watoto aondoke nao tusijuane eti,Why hutaki yai lako litumike?
Sawa mkuu, na hivi kwann umetaka mwanamke mweupe?? Hupendi mtoto mweusi?Ndio inawezekana ndugu, huyo yupo sahihi kabisa
Upo sahihi, lakini hivi vitu vinabadilika ndugu sio lazima tukafanya kama wazungu kila kituTatizo mnacheza na hivi vitu! Kwa kawaida i natakiwa aliyebeba kiumbe tumboni aka jifungua asione huyo mtoto. Na ndiyo maana kuzaa kwake ni lazima operation
Sasa mkuu, yai ni kacell kamoja tu...Tena hata hakaonekani bila microscope.Anataka watoto aondoke nao tusijuane eti,
halafu anataka huyo mwanamke asiwe na magonjwa ya akili,
hao ni wanawake wawili tofauti kabisa,
itabidi achukue mwenye magonjwa ya akili amuuzie yai halafu aje tubebe tumuachie
Sio mtoto, ameandika watoto... kuwa makini, ameirudia rudia ktk uandishi... ina maana watoto kuanzia wawili...Hakuna hata life insurance...
Na je mtoto akifa kabla ya mkataba kuisha inakuwaje?
Haiwezekani. Inahitaji mtu aliye singleOngea nae vizuri, huenda anaweza kucompromise
Bro mtoto ana thamani ya pekee aseehhhWanawake wote hapa jf wamekataa eti[emoji23][emoji23][emoji23]
wote wanaona utu is better than money[emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Wee hiyo cell moja ni DNA yangu yani it's a piece of me, na nature isivyo na adabu huyo mtoto atatoka copy yangu kabisaSasa mkuu, yai ni kacell kamoja tu...Tena hata hakaonekani bila microscope.
Kwani shingapi?
So huwezi kukaa single for 2 yrs for 57 million tsh??Haiwezekani. Inahitaji mtu aliye single
Vigezo vipi?Hata mjini hawezi kukosa. Hiyo pesa utasota miaka na miaka huipati.
Mie nimekosa tu vigezo...ningechukua deal
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shooooga
Em ngoja niendelee kutafakari, nyamaza kwanza usiongee unanidisturb mawazo hapa...