Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Surrogacy haikubaliwi kwa msichana! Lazima awe ashazaa angalau mara moja mkuu
Inaruhusiwa ndugu, pia sijaweka sharti kwamba lazima awe ajazaa kabisa , hata kama mtu ana watoto anaruhusiwa jambo la msingi awe na sifa nilizoandika
 
Wa mimba ni kazi .

Nenda kijijini utapata mtu sahihi Tena ambaye tayari anamtoto atakubali na hiyo hela kwake ni nyingi mjini weh utasaga miguu kweli Nakadori
Hata mjini hawezi kukosa. Hiyo pesa utasota miaka na miaka huipati.
Mie nimekosa tu vigezo...ningechukua deal
 
Tatizo mnacheza na hivi vitu! Kwa kawaida i natakiwa aliyebeba kiumbe tumboni aka jifungua asione huyo mtoto. Na ndiyo maana kuzaa kwake ni lazima operation
Upo sahihi, lakini hivi vitu vinabadilika ndugu sio lazima tukafanya kama wazungu kila kitu
 
Anataka watoto aondoke nao tusijuane eti,
halafu anataka huyo mwanamke asiwe na magonjwa ya akili,
hao ni wanawake wawili tofauti kabisa,
itabidi achukue mwenye magonjwa ya akili amuuzie yai halafu aje tubebe tumuachie
Sasa mkuu, yai ni kacell kamoja tu...Tena hata hakaonekani bila microscope.

Kwani shingapi?
 
Back
Top Bottom