Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Kwani akimzaa huyo si anaweza kwenda kuzaa wa kwake na huku ana capital ya 25M?? Kumbuka kuna wanaotupa watoto au kuwaua..
 
Hiyo ni pension kabisa ya mfanyakazi baada ya miaka 30 ya kazi [emoji23] [emoji23]
 
Walianza kwenye kuku wakisasa vifaranga vinatotolewa havimjui baba yao,Sasa wamekuja kwa wenye tamaa ,naamini watawachukua wengi..
Sasa apo kuna shida gan acheni uswahili,iyo ni advance ya technology tena yenye manufaa sana huwez jua mama anashida gan mpk anashindwa kuibeba mimba mwnyw
We chukua fursa iyo
 
Sasa mamii mtoto sio wako we umebeba kuna shida gan tumia pesa iyo kazae wakwako,tutakupatia msaada wa kisaikolojia ili uache kumuwaza mtoto wa watu
 
Ukiisoma 25M ni kubwa Kumbe ni hela ya Subaru Forester moja tu[emoji28]

Kila la kheri kinadada
Wewe umewaza materials things, Subaru, kuna mwingine atawaza kufungua biashara ya say 15M na 10M akaweka bank. Hivi hii biashara akiisimamia vizuri na ikaendelea si tayari kapata ajira ya maisha yake? 15M mfano si unapata bajaj 2 na akiwa na msimamizi mzuri hajatoboa? 15M hufungui duka kubwa la Mangi au nguo?? Ila kama wewe pesa ukiipata unawaza kununua gari hata upate 100M utawaza kununua gari badala ya kuzungusha pesa...
 
Familia ndo imekubaliana kupata mtoto mkuu,sio shida ya baba peke yake
 
Hapo pa kulea mtoto mwaka then you let her go kitakua kipindi kigumu kwa mbeba mimba, ni ngumu kuvunja ile bond
Waswahili acheni hayo mambo ya sijui bond,duniani kote iyo ni biashara inafanyika watu wanapiga pesa wanaendelea na maisha yao,ndo mana wanataka mwny akili timamu sio nyie wehu mliojitokeza umu kupinga hili swala
 
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Sasa kama hakuna tendo la ndoa, na kama mwanamke mbeba mimba hachangii yai, damu, vinasaba, nothing, NI KWA NINI kuna vigezo na masharti ya urefu, unene, mweupe, mfupi, maji ya kunde kama sio mtego wa kumbaka huyo mwanamke
 
Biashara ninazo ndo maana najiwazia zangu subaru XT au Toyota Rush new model.

Haujashangaa sijawaza IST ya 12M
 
Sasa hiyo case ya mtu mmoja kwa Dar yenye watu zaidi ya 5m kweli? Pia kasema hiyo itafanyika kisheria mbele ya ofisi za maendeleo ya jamii. So ukiafiki na kupokea chako na ku saini nyaraka ndo imetoka hiyoo.
 
Sasa mamii mtoto sio wako we umebeba kuna shida gan tumia pesa iyo kazae wakwako,tutakupatia msaada wa kisaikolojia ili uache kumuwaza mtoto wa watu
Hahahaha i need money lkn after letting the baby go i will sufer mpk niingie kaburini au nipewe back the kid and the 25m will be used kunitibu
 
jaribu kucheki na mobeto, nadhani anaweza kujilipua ila ungeongeza na usafiri japo v
Kwanini usifanye kama Surrogate?..ili atleast mtoto awe na Mama atakayemjua?

Sasa kama hakuna tendo la ndoa, na kama mwanamke mbeba mimba hachangii yai, damu, vinasaba, nothing, NI KWA NINI kuna vigezo na masharti ya urefu, unene, mweupe, mfupi, maji ya kunde kama sio mtego wa kumbaka huyo mwanamke
Asante kwa maoni ndugu,
Kwenye tangazo langu sijaweka taarifa inayosema kwamba mbeba mimba hachangii yai.
Rudia kusoma vizuri tangazo
 
Sasa kama hakuna tendo la ndoa, na kama mwanamke mbeba mimba hachangii yai, damu, vinasaba, nothing, NI KWA NINI kuna vigezo na masharti ya urefu, unene, mweupe, mfupi, maji ya kunde kama sio mtego wa kumbaka huyo mwanamke
Nadhani atakua anamtumia kwa matumizi ya kile chama cha chaputa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…