Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Ile feeling unayoipata kwa kumtizama mtoto na vimacho vyake hasa wakati wa breast feeding, moment za mtoto ukimbusu , mtoto akiwa anakuchekea tabasamu lisilo feki, ayayayaya afu after a year, you let her go huku sheria ikikubana for only 25m hapana kwa kweli ingawaje pesa tunazitaka
Kwani akimzaa huyo si anaweza kwenda kuzaa wa kwake na huku ana capital ya 25M?? Kumbuka kuna wanaotupa watoto au kuwaua..
 
See, zaidi ya Million 57 kwa muda wa takriban miaka miwili.

Bid 25,000,000
1,000,000 ×9 =9,000,000
20,000×30×9=5,400,000
50,000×30×12=18,00,000

Total 57,400,000.

Hapo unakaa bure na kulala bure. Chakula utakula cha hapo hapo.

Utakachokosa ni utamu. Hutaliwa kwa miaka hiyo miwili, unless otherwise mkataba ueleze.

Lakini huo ni utumwa. Kama hakutakuwa na mahusiano yeyote hata ya kulala kitanda kimoja na baba wa mwanae, ni changamoto. Unaishi kifungoni.
Hiyo ni pension kabisa ya mfanyakazi baada ya miaka 30 ya kazi [emoji23] [emoji23]
 
Walianza kwenye kuku wakisasa vifaranga vinatotolewa havimjui baba yao,Sasa wamekuja kwa wenye tamaa ,naamini watawachukua wengi..
Sasa apo kuna shida gan acheni uswahili,iyo ni advance ya technology tena yenye manufaa sana huwez jua mama anashida gan mpk anashindwa kuibeba mimba mwnyw
We chukua fursa iyo
 
Ile feeling unayoipata kwa kumtizama mtoto na vimacho vyake hasa wakati wa breast feeding, moment za mtoto ukimbusu , mtoto akiwa anakuchekea tabasamu lisilo feki, ayayayaya afu after a year, you let her go huku sheria ikikubana for only 25m hapana kwa kweli ingawaje pesa tunazitaka
Sasa mamii mtoto sio wako we umebeba kuna shida gan tumia pesa iyo kazae wakwako,tutakupatia msaada wa kisaikolojia ili uache kumuwaza mtoto wa watu
 
Ukiisoma 25M ni kubwa Kumbe ni hela ya Subaru Forester moja tu[emoji28]

Kila la kheri kinadada
Wewe umewaza materials things, Subaru, kuna mwingine atawaza kufungua biashara ya say 15M na 10M akaweka bank. Hivi hii biashara akiisimamia vizuri na ikaendelea si tayari kapata ajira ya maisha yake? 15M mfano si unapata bajaj 2 na akiwa na msimamizi mzuri hajatoboa? 15M hufungui duka kubwa la Mangi au nguo?? Ila kama wewe pesa ukiipata unawaza kununua gari hata upate 100M utawaza kununua gari badala ya kuzungusha pesa...
 
Kiukweli kabisa kama unahitaji mtoto ama watoto bongo ni rahisi sana kupata wa kukuzalia.. bila hata kutumia hela zote hizo. Milioni 27 nyingi sana kutumia kusaka mtoto mmoja bongo.

Panga appartment kali, weka furniture kalii,, kama huna gari just kodi garii nzuri hata ikiwa vitz ila iwe mpya mpya iwe kama yako.

Then tongoza kawaida tu kwa gia ya kimahusiano..

Demu akija gheto anapoondoka uwe unampa mpa vihela kama 50k kama nauli na matumizi madogo madogo kama vocha usimnyime.

Ndani ya huo mwaka Lazima upate wa kukubebea mimba
Familia ndo imekubaliana kupata mtoto mkuu,sio shida ya baba peke yake
 
Hapo pa kulea mtoto mwaka then you let her go kitakua kipindi kigumu kwa mbeba mimba, ni ngumu kuvunja ile bond
Waswahili acheni hayo mambo ya sijui bond,duniani kote iyo ni biashara inafanyika watu wanapiga pesa wanaendelea na maisha yao,ndo mana wanataka mwny akili timamu sio nyie wehu mliojitokeza umu kupinga hili swala
 
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Sasa kama hakuna tendo la ndoa, na kama mwanamke mbeba mimba hachangii yai, damu, vinasaba, nothing, NI KWA NINI kuna vigezo na masharti ya urefu, unene, mweupe, mfupi, maji ya kunde kama sio mtego wa kumbaka huyo mwanamke
 
Wewe umewaza materials things, Subaru, kuna mwingine atawaza kufungua biashara ya say 15M na 10M akaweka bank. Hivi hii biashara akiisimamia vizuri na ikaendelea si tayari kapata ajira ya maisha yake? 15M mfano si unapata bajaj 2 na akiwa na msimamizi mzuri hajatoboa? 15M hufungui duka kubwa la Mangi au nguo?? Ila kama wewe pesa ukiipata unawaza kununua gari hata upate 100M utawaza kununua gari badala ya kuzungusha pesa...

Biashara ninazo ndo maana najiwazia zangu subaru XT au Toyota Rush new model.

Haujashangaa sijawaza IST ya 12M
 
Ilitokea pale survey karibu na mlalakua...
Bar maid alimzalia boss wake kwakuwa hakuwa na uwezo wa kuzaa... (alimwambia alale na mwanaume flani Ambebee mimba alipwe halafu mtoto akabidhi akishazaliwa.) baada ya kuzaa akaambiwa asijihusishe na mtoto...akalipwa chake akasepa. Yule mama akalea mtoto ( ambae sasa ni mtu mzima) ila mama mzazi wa yule mtoto alikuwa anajulikana. Kifupi yule mama (ambaye ndo aliadoptiwa) hakuwa na mapenzi na yule bibi hata kidogooo.
Bibi (ambae alitoa dau la kununua mtoto) alipofariki yule bar maid ambaye kwa sasa ni mbibi anaishi kwenye nyumba ya aliyenunua mtoto kwa raha zake anafurahia mali za mwanae.
Waliokulia au kuishi survey wanajua hiyo story ya bi mkoroshoni.
Sasa hiyo case ya mtu mmoja kwa Dar yenye watu zaidi ya 5m kweli? Pia kasema hiyo itafanyika kisheria mbele ya ofisi za maendeleo ya jamii. So ukiafiki na kupokea chako na ku saini nyaraka ndo imetoka hiyoo.
 
Sasa mamii mtoto sio wako we umebeba kuna shida gan tumia pesa iyo kazae wakwako,tutakupatia msaada wa kisaikolojia ili uache kumuwaza mtoto wa watu
Hahahaha i need money lkn after letting the baby go i will sufer mpk niingie kaburini au nipewe back the kid and the 25m will be used kunitibu
 
jaribu kucheki na mobeto, nadhani anaweza kujilipua ila ungeongeza na usafiri japo v
Kwanini usifanye kama Surrogate?..ili atleast mtoto awe na Mama atakayemjua?

Sasa kama hakuna tendo la ndoa, na kama mwanamke mbeba mimba hachangii yai, damu, vinasaba, nothing, NI KWA NINI kuna vigezo na masharti ya urefu, unene, mweupe, mfupi, maji ya kunde kama sio mtego wa kumbaka huyo mwanamke
Asante kwa maoni ndugu,
Kwenye tangazo langu sijaweka taarifa inayosema kwamba mbeba mimba hachangii yai.
Rudia kusoma vizuri tangazo
 
Sasa kama hakuna tendo la ndoa, na kama mwanamke mbeba mimba hachangii yai, damu, vinasaba, nothing, NI KWA NINI kuna vigezo na masharti ya urefu, unene, mweupe, mfupi, maji ya kunde kama sio mtego wa kumbaka huyo mwanamke
Nadhani atakua anamtumia kwa matumizi ya kile chama cha chaputa
 
Back
Top Bottom