Si mtazamo hio ndy ukweli wenyweAsante kwa maoni yako, ila huo ni mtazamo na uelewa wako.
Dunia yote haipo hivyo
Asante kwa maoni ndugu, ila huo ukweli unaosema ni sawa kwako ila kwa mtu mwingine unaweza usiwe sawa.Si mtazamo hio ndy ukweli wenywe
Mfano kweny wanyama wanafanya moet ili kuongeza thamani ya mnyama sasa kwa binadamu unataka kuongeza nini kama siyo kichaka cha kuficha uovu wenu?
Basi ww utakuwa dalali,kama huelewi hata ninacho kieleza.Asante kwa maoni ndugu, ila huo ukweli unaosema ni sawa kwako ila kwa mtu mwingine unaweza usiwe sawa.
Pia hakuna uovu unaofichwa sababu tangazo lipo wazi kabisa masharti, sifa na malipo vipo wazi kwa aliye tayari.
Nini tatizo kwako?
Kipi kipimo cha haki kwako na kwamtoto anaye patikana kwa ivf huoni hapo umemnyima haki yake?Asante kwa maoni, ila huo ni mtazamo wako.
Asante kwa maoni, naomba kwako iwe hivyo kama unavyofikiri.Basi ww utakuwa dalali,kama huelewi hata ninacho kieleza.
Swali jepesi tu kwanini utumie ivf kupqta mtoto?
Asante kwa maoni, ila huo ni mtazamo wako nduguKipi kipimo cha haki kwako na kwamtoto anaye patikana kwa ivf huoni hapo umemnyima haki yake?
Halafu hapohapo unazungumzia haki
Asante kwa maoni, naomba kwako iwe hivyo kama unavyofikiri.
Kuhusu kwanini natumia IVF sitokujibu ila unaweza kuingia kwenye mtandao ukasoma kwanini watu wanatumia IVF.
Elewa swali, swali halisemi watu kutumia ivf bali swali nimekuuliza kwanini utumie ivf kupata mtoto?Asante kwa maoni, naomba kwako iwe hivyo kama unavyofikiri.
Kuhusu kwanini natumia IVF sitokujibu ila unaweza kuingia kwenye mtandao ukasoma kwanini watu wanatumia IVF.
Asante kwa maoni, ila pia mimi ni mtu kama wengine hivyo ukishapata jibu la kwanini watu wengine wanatumia IVF pia utakua umepata jibu kwangu kwamba kwanini natumia IVFElewa swali, swali halisemi watu kutumia ivf bali swali nimekuuliza kwanini utumie ivf kupata mtoto?
Kweny kipengele cha haki kitoe kwasababu unavunja haki ya mtoto kupata malezi ya mama yakeAsante kwa maoni, ila huo ni mtazamo wako ndugu
Benefits zilizo wekwa kwny techn hii ni kichaka cha kujifichia wakazwaji ili na wao waonekane kwny jamii wanawatoto lakini kiuhalisia ni uhuni kama uhuni mwngnAsante kwa maoni, ila pia mimi ni mtu kama wengine hivyo ukishapata jibu la kwanini watu wengine wanatumia IVF pia utakua umepata jibu kwangu kwamba kwanini natumia IVF
Asante kwa maoni, kumbuka tangazo linaeleza kwamba huo ni mkataba wa kisheria unaohusisha mahakama na ustawi wa jamii.Kweny kipengele cha haki kitoe kwasababu unavunja haki ya mtoto kupata malezi ya mama yake
Asante kwa maoni, huo ni mtazamo wakoBenefits zilizo wekwa kwny techn hii ni kichaka cha kujifichia wakazwaji ili na wao waonekane kwny jamii wanawatoto lakini kiuhalisia ni uhuni kama uhuni mwngn
Akikuwa akikuuliza mama yuko wapi utamjibu nini? My friend acha uhuniAsante kwa maoni, kumbuka tangazo linaeleza kwamba huo ni mkataba wa kisheria unaohusisha mahakama na ustawi wa jamii.
Pia jua kwamba sio watoto wote duniani wamepata malezi ya mama na baba, inategemea na mazingira na watoto wanakua na afya furaha pengine kuliko wale waliolelewa na baba na mama
Asante kwa maoni yako, ila huo ni mtazamo wako ndugu usilazimishe uwe kwa kila mtu.Akikuwa akikuuliza mama yuko wapi utamjibu nini? My friend acha uhuni
Kuhusu baraka za mahakama na ustawi wa jamii hao ni washirika wa kuu wa kubarika matendo ya wakazwaji.
Mbona simple tu tumia logic ya kawaida,hv ingekuwa ww umepatikana kwa ivf ungefurahia hiko kitendo?
Usi generalizeAsante kwa maoni yako, ila huo ni mtazamo wako ndugu usilazimishe uwe kwa kila mtu.
Pia hakuna jambo baya katika IVF kama unavyoeleza.
Kama lingekuwa jambo zuri wakazwaji wasingekuwa wanalipa promo kila siku huko kweny vyombo vya habariAsante kwa maoni yako, ila huo ni mtazamo wako ndugu usilazimishe uwe kwa kila mtu.
Pia hakuna jambo baya mtu akitumia IVF.
Pia hilo ni jambo la hiari na sio lazima.
Asante kwa maoni ndugu, ila sipo kushindana na mtu, najaribu tu kukujibu.Usi generalize
Jibu swali step by step,nimekuuliza hv mtoto akikuwa na akikuuliza mama yuko wapi utamjibu nini?
Jibu lipo wapi hapo?Asante kwa maoni ndugu, ila sipo kushindana na mtu, najaribu tu kukujibu.
Huo ni mtazamo wako nduguKama lingekuwa jambo zuri wakazwaji wasingekuwa wanalipa promo kila siku huko kweny vyombo vya habari