Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Si mtazamo hio ndy ukweli wenywe
Mfano kweny wanyama wanafanya moet ili kuongeza thamani ya mnyama sasa kwa binadamu unataka kuongeza nini kama siyo kichaka cha kuficha uovu wenu?
Asante kwa maoni ndugu, ila huo ukweli unaosema ni sawa kwako ila kwa mtu mwingine unaweza usiwe sawa.
Pia hakuna uovu unaofichwa sababu tangazo lipo wazi kabisa masharti, sifa na malipo vipo wazi kwa aliye tayari.
Nini tatizo kwako?
 
Basi ww utakuwa dalali,kama huelewi hata ninacho kieleza.

Swali jepesi tu kwanini utumie ivf kupqta mtoto?
 
Asante kwa maoni, naomba kwako iwe hivyo kama unavyofikiri.
Kuhusu kwanini natumia IVF sitokujibu ila unaweza kuingia kwenye mtandao ukasoma kwanini watu wanatumia IVF.
Asante kwa maoni, naomba kwako iwe hivyo kama unavyofikiri.
Kuhusu kwanini natumia IVF sitokujibu ila unaweza kuingia kwenye mtandao ukasoma kwanini watu wanatumia IVF.
Elewa swali, swali halisemi watu kutumia ivf bali swali nimekuuliza kwanini utumie ivf kupata mtoto?
 
Asante kwa maoni, ila pia mimi ni mtu kama wengine hivyo ukishapata jibu la kwanini watu wengine wanatumia IVF pia utakua umepata jibu kwangu kwamba kwanini natumia IVF
Benefits zilizo wekwa kwny techn hii ni kichaka cha kujifichia wakazwaji ili na wao waonekane kwny jamii wanawatoto lakini kiuhalisia ni uhuni kama uhuni mwngn
 
Kweny kipengele cha haki kitoe kwasababu unavunja haki ya mtoto kupata malezi ya mama yake
Asante kwa maoni, kumbuka tangazo linaeleza kwamba huo ni mkataba wa kisheria unaohusisha mahakama na ustawi wa jamii.
Pia jua kwamba sio watoto wote duniani wamepata malezi ya mama na baba, inategemea na mazingira pia inawezekana watoto hao wakawa na afya na furaha pengine kuliko wale waliolelewa na baba na mama
 
Asante kwa maoni, kumbuka tangazo linaeleza kwamba huo ni mkataba wa kisheria unaohusisha mahakama na ustawi wa jamii.
Pia jua kwamba sio watoto wote duniani wamepata malezi ya mama na baba, inategemea na mazingira na watoto wanakua na afya furaha pengine kuliko wale waliolelewa na baba na mama
Akikuwa akikuuliza mama yuko wapi utamjibu nini? My friend acha uhuni

Kuhusu baraka za mahakama na ustawi wa jamii hao ni washirika wa kuu wa kubariki matendo ya wakazwaji.

Mbona simple tu tumia logic ya kawaida,hv ingekuwa ww umepatikana kwa ivf ungefurahia hiko kitendo?
 
Akikuwa akikuuliza mama yuko wapi utamjibu nini? My friend acha uhuni

Kuhusu baraka za mahakama na ustawi wa jamii hao ni washirika wa kuu wa kubarika matendo ya wakazwaji.

Mbona simple tu tumia logic ya kawaida,hv ingekuwa ww umepatikana kwa ivf ungefurahia hiko kitendo?
Asante kwa maoni yako, ila huo ni mtazamo wako ndugu usilazimishe uwe kwa kila mtu.
Pia hakuna jambo baya mtu akitumia IVF.
Pia hilo ni jambo la hiari na sio lazima.
 
Asante kwa maoni yako, ila huo ni mtazamo wako ndugu usilazimishe uwe kwa kila mtu.
Pia hakuna jambo baya mtu akitumia IVF.
Pia hilo ni jambo la hiari na sio lazima.
Kama lingekuwa jambo zuri wakazwaji wasingekuwa wanalipa promo kila siku huko kweny vyombo vya habari
 
Back
Top Bottom