Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Asante kwa huo ufafanuzi inasaidia sana baadhi ya watu kuelewa namna mambo yanavyoenda kisheria,
hili jambo ni la kawaida ila kuna watu wanalifikiria kihisia sana, pia hili ni jambo la hiari sio lazima hivyo ukijiridhisha kwamba unaweza kufanya ndio unakaribishwa.
Watu wanatakiwa kujua hata hospital ya Taifa Muhimbili wameanza kufanya IVF, na Rais Samia alishatolea taarifa hilo jambo hivyo, swala la sheria za IVF linawezwa kufanyika pia Tanzania
 
Kwa nchi yetu watu bado wapo very primitive, jambo la IVF mbona limekua kawaida tu duniani nowadays, watu wana sababu zao za kufanya IVF , wengine matatizo ya kibaologia, ama ana sababu flani ambazo zinafanya isiwe rahisi kwake kupata mtoto na kila mtu anatamani kua na mtoto, so ugunduzi wa IVF umekua faraja kwa watu wengi sana.

Wewe kama unaona ni jambo jipya kwako au unaona haifai basi pita tu kuliko kucomment upuuzi na kumtukana ntoa mada, na kikubwa hakuna madhara kwenye IVF ni vile tu imetafutwa namna ya kuwasaidia wasioweza kuzaa kwa njia ya kawaida.

Mfano mtu akiwa na ugonjwa wa vitiligo (sjui kama nimepatia) hua ikifika stage flani hawaruhusiwi kuzaa au kubeba mimba, sasa why asifanye IVF process?

Pia wale wanaosema hela ni ndogo, its ok watu hawalingani uwezo, kuna mwenye anaona hiyo hela ni kubwa na pengine anaihitaji sana , hivyo kuliko kuwakatisha tamaa ni bora muache watu wafanyr maamuzi yao wenyewe. Nilitegemea watu wangeonesha side effect ya IVF au madhara yake kwa ujumla ama njia mbadala ila hakuna, naona tu watu wakiongelea bounds, kiasi cha pesa etc.

Mtoa mada just do whatever you want to do as long as is legal, then go ahead.
 
💯
 
Ussue sio IVF issue ni hiyo surrogate mother kwa watanzania.... sio common sana kwa sababu wako so attached na familia zao au uzao wao....lakini pia sheria za tanzania zinaruhusu sarrogance??

Lakini kuhusu watu kutoa mawazo tofauti na uono wako hiyo ndo maana ya kukua kiakili. Hatuwezi kuwaza na kuandika kwa uono mmoja ...jf ina watu zaidi ya laki 5 na kila mmoja ana mawazo tofauti...uzi ukipostiwa hapa mawazo yatakuja tofauti kazi ni kwa mleta mada kuchuja kile kinachomfaa.
 
Ahsante,
 
Upo sahihi sana ndugu,
Pia na mimi niongezee kitu hapa kwamba hili ni jambo la hiari hakuna mtu atakae lazimishwa kufanya IVF,
Mtu akijiridhisha asilimia zote kwamba anataka kufanya IVF kwa kukubali malipo, masharti, na akiwa na sifa zilizotajwa kwenye tangazo ndio tunamkaribisha kufanya hiyo IVF.
Hivyo tusifanye hili tangazo kwa kujadili hisia binafsi za mtu bila facts
 
Ok nimekuelewa mkuu.
 
Ndomaana nikasema sharti lake la mwanamke asiwe na magonjwa ya akili linamkwambisha
You have to some psychopathic tendencies to do this business
Wala haihitaji kua na ugonjwa wa akili, hii kitu Ughaibuni inafanywa sana tu.
Ina faida kuliko kutupa, kutelekeza au kuua watoto kisa maisha magumu na sababu kama hizo.

Pm ya jamaa huenda iko busy kupokea watu.

Tusubiri mrejesho.
 
Kaka nimewazaa nimkeuonea huruma ghafla ingekua dini yangu inaruhusu ningekua bure Mtoto na nisingeomba tu niwe namuona tu ningekomaa na Hawa nilionao tu,nimewaza daahh...poleni Saba najua yote haya yumkini mkeo Hana uwezo wa kupata Mtoto na watoto ni faraja mnoo!!
Pole sana Mungu awafanyie wepesi mnoo mtimize Hilo lengo lenu!!
Yaani Kuna watu wanatupa watoto afu Wengine wanatafuta kwa gharama almost 60m..Mungu huyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…