mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
- Thread starter
- #561
Asante kwa huo ufafanuzi inasaidia sana baadhi ya watu kuelewa namna mambo yanavyoenda kisheria,Lakini kama umesaini kuwa hutamtafuta halafu umtafute hapo unatafuta matatizo
Ila kwa wazungu ni jambo tofauti yaani unamtafuta unampata, mtoto ndio anakufungulia mashtaka kwanza kumuuza kama mbuzi na hatatamani kukuona na kuongea na wewe
Halafu baba ndio anakufilisi kabisa mahakamani
hili jambo ni la kawaida ila kuna watu wanalifikiria kihisia sana, pia hili ni jambo la hiari sio lazima hivyo ukijiridhisha kwamba unaweza kufanya ndio unakaribishwa.
Watu wanatakiwa kujua hata hospital ya Taifa Muhimbili wameanza kufanya IVF, na Rais Samia alishatolea taarifa hilo jambo hivyo, swala la sheria za IVF linawezwa kufanyika pia Tanzania