Anahitajika mtaalam mwenye uwezo wa kututafutia pesa kwa ajili ya NGO

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Tumeanzisha NGO ila tuna changamoto ya kupata fedha kutoka kwa wafadhili, tunahitaji mwenye upeo na uwezo wa kujua wapi na namna ya kupata fedha kwa ajili ya miradi yetu ya maendeleo, NGO yetu ina malengo ya kujengea watu uwezo wa ujasiriamali, kilimo, mambo ya viwanda; inajenga miundo mbinu yatakayo weza kuwaongezea wananchi kipato na kuongeza mapato ya serikali (mfano masoko ya vijijini na mjini…, tunatoa elimu ya wajasiriamali, kuwawezesha kina mama ili wakuze kipato chao nk.

Hatuna mtaalam wa kutusaidia kufanya kazi ya kujitolea kutatufa fedha na badae kuwa nae mkataba wa ajiria ili afanye kazi hiyo ya usimamizi. Kama kuna mtaalam au mtu mwenye kumfahamu mtaalam mwenye uwezo huo wa kuandika proposals na kutufanyia (fund raising) au mtu mwenye kumfahamu mtaalam mwenye uwezo huo atusaidie.
 
Tembeleeni mashirika makubwa mnayofanana nayo shughuli mnazofanya. Waombeni Wawa-subcontract baadhi ya project zao.

Kupata direct Funds kwa CSOs sio rahisi hivyo otherwise muwe mnafanya projects za kipekee (Kilimo, afya n.k ).
 
CSOs siku hizi hazipewi fund direct ni ngumu sana tafuteni INGOs ziwape fund
 
Kuna ndugu yupo world vision ndo kazi yake amefanya na NGO nyingi sana kama consultant ila hawezi kukubal kujitolea bure kama mnavyotaka
 
Tumeanzisha NGO ila tuna changamoto ya kupata fedha kutoka kwa wafadhili, tunahitaji mwenye upeo na uwezo wa kujua wapi na namna ya kupata fedha kwa ajili ya miradi yetu ya maendeleo, NGO yetu ina malengo ya kujengea watu uwezo wa ujasiriamali, kilimo, mambo ya viwanda; inajenga miundo mbinu yatakayo weza kuwaongezea wananchi kipato na kuongeza mapato ya serikali (mfano masoko ya vijijini na mjini…, tunatoa elimu ya wajasiriamali, kuwawezesha kina mama ili wakuze kipato chao nk.

Hatuna mtaalam wa kutusaidia kufanya kazi ya kujitolea kutatufa fedha na badae kuwa nae mkataba wa ajiria ili afanye kazi hiyo ya usimamizi. Kama kuna mtaalam au mtu mwenye kumfahamu mtaalam mwenye uwezo huo wa kuandika proposals na kutufanyia (fund raising) au mtu mwenye kumfahamu mtaalam mwenye uwezo huo atusaidie.
Nione pm tuyajenge
 
Kama kuna mtu ana huo uwezo hawezi ajiriwa kirahisi, you should develope that ability yourself: fanyeni hivi:

- Kuweni na website nzuri yenye ku update activities at least weekly - genuine.
- kuweni na activities Kulingana na documents zenu na muwe na picha etc!
- Fungueni Twitter, FB etc and post all that you do regurlary.
- Mkiwa na yote hayo jisajilini kwenye Organization kubwa na accelerator kama global giving!
- Baada ya hayo mlipeni mtu wa kuandika th proposal, na muwe makini sana naye ajue mipaka yake!

Mkifanya hayo hapo juu msipofanikiwa fungeni office Mjaribu kitu kingine
 
Back
Top Bottom