Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

Habari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=

Maudhui:

Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi​
Mkuu Kwanza hujawaspecific unataka 2D au 3D animation.
Na pia kutengeneza animation sio kazi ndogo maana Kuna project zinagharimu almost 300million Tsh.
Ungesema naomba portfolio za animators uone quality na ubora wa kazi na sio unataka mtu akufanyie kazi kwa laki mbili na nusu.
Unajua Gharama ya kutengeneza animation frame per second (FPS).

Last but not least ongeza dau uone watu watavotuma portfolio za animation za kutosha.
 
Najua ni kazi ngumu mkuu,ila najua kuna vijana wabobezi wanaoweza kutumia saa moja kutengeneza hayo maudhui;namimi nawatafuta hao ambao wako smart,hata awe darasa la saba;cha muhimu ni huo utundu wa kutengeneza hivyo vitu
 
Dha mkuu itabidi nikutafute, kuanzia sep 6 ivi nitakua likizo. hata kama internship itabidi tu unipatie yani tofauti na kutumia terminal za debian na programming mambo ya graphic kwangu ni changamoto. Mkuu izo animation ni kama zile za TBC au Rango
 
TBC 😂😂😂 Ila watu wa TBC wanakula mshahara wa bure maamae mana sio kwa ule ujinga mana animation zao utadhani ni za 1800s
 
Nataka nimlete mdogo wangu kwa mafunzo. Nine kupm hujajibu, mafunzo ni bei gani?
Screenshot_20210830-153839.png
 
Mkuu Kama unacomputer na mouse mafunzo Bora au vyuo Bora ni
Udemy
YouTube
Na vitabu

Mdogo wangu hajui kitu, basic ya animation nataka afundishwe kwa vitendo na mwalimu wanaeonana face to face. sitaki asome online maana namjua hawezi elewa bila kuwa na mentor

Online wanafundisha kila kitu ila bado watu wanaenda tution za darasani.. mfano hata cpa watu wanaenda tution ilala boma na mnazi mmoja mpaka leo huku youtube kuna video nzuri kibao za topic za uhasibu
 
Mafunzo kwa vitendo ndio muhimu zaidi
 
Ni kweli mkuu akishapata basics ili awe nondo apite huko
 
Back
Top Bottom