Strive
Member
- Jul 1, 2022
- 88
- 110
Mi nadhani mtoa mada au mtoa kazi HAJUI kaz za animations znafanyikaje, gharama za kufanya hizo kazi zikoje, malipo kwa wanaofanya kaz kwny hiyo industry wanalipawaje na hata recruitment style ya animators inakuaje HAJUI. Sasa nnamashaka km hata anaelewa biashara ya animations inafanyikaje na ana mpango biashara wa namna gan kwa matarajio ya baada ya miaka mitano kampuni kukua.
Mi nimeona haya machache thread iendelee...!
Mi nimeona haya machache thread iendelee...!