Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

Usahili wa bibi yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787] PUMBAVU kweli kanajiona kaboss kanaajiri[emoji1787]
Ulishawahi kujiuliza, kwa nini sehemu walizoishi wazungu huwa kuna maendeleo?
 
Duh watu wapo negative sana.....

Mtu kama yupo kwenye hii industry huenda tayari ana template kwahio kutengeneza hio huenda isichukue sana muda....

Pili hapo kuna audio sasa sijui anatumia sauti yake, sauti yako au anatumia text to speech..., Kwa wanaosema interview kwanza upate kazi ndio uonyeshe kazi sio kweli..., kwenye hii industry unaonyesha kazi ulizofanya tayari kwa dakika au hata sekunde ili upate kazi...

Pili huenda mkaona huo ujira ni mdogo ila ndio hivyo industry ina competition ila kama una kipaji na unaona pesa ni ndogo basi tengeneza yako uuze mwenyewe.., ila hapo utagundua sio kutengeneza tu kuna mambo mengi; story, marketing / promotion n.k. Hio animation ni last hurdle pili kama itakuwa ni kampuni huenda mtakuwa mnafanya kazi kwenye teams..., Pia nadhani mleta uzi kama unajua where to go labda ungeuliza ni software zipi unataka watu watumie na je ni 2D au 3D pia kama ni 2D watumie nini Moho, Toon Boom Harmony au just a simple program kama cartoon animator ?

Sio kwamba nipo kwenye Industry..., I just happen to Know.....
Mawazo yako ni mazuri sana nimeyapenda; ningependelea zaidi 2D, pia nitatumia software za kulipia; kazi itafanyika kwa timu. Atakuwepo anayetengeneza stori, anayetengeneza script pamoja na character, atakuwepo animator, watu wa IT-competent watakuwepo, mtu wa masoko, na mwanasheria wa kampuni.
 
Equation x

Kutengeneza katuni quality ni ngumu na ni time consuming, na kumuongelesha ni hatari kabisa.

Hapo inatakiwa modeling, texturing, rigging ndo animation. Kila kimoja hapo ni kozi.

Na kuna kimbembe cha lip syncing

Kutengeneza realistic lip syncing inayokupa asilimia 100 inataka mtu aliye kwenye industry muda mrefu.
Ni kweli mkuu, nakubaliana na wewe; masoko yapo tayari, ila kupata mtu ambaye ni competent ndio shida ilipo. Wapo wanaojua kuchora tu, ila kuvichezesha na kuviongelesha ndipo penye matatizo.
 
Duh watu wapo negative sana.....

Mtu kama yupo kwenye hii industry huenda tayari ana template kwahio kutengeneza hio huenda isichukue sana muda....

Pili hapo kuna audio sasa sijui anatumia sauti yake, sauti yako au anatumia text to speech..., Kwa wanaosema interview kwanza upate kazi ndio uonyeshe kazi sio kweli..., kwenye hii industry unaonyesha kazi ulizofanya tayari kwa dakika au hata sekunde ili upate kazi...

Pili huenda mkaona huo ujira ni mdogo ila ndio hivyo industry ina competition ila kama una kipaji na unaona pesa ni ndogo basi tengeneza yako uuze mwenyewe.., ila hapo utagundua sio kutengeneza tu kuna mambo mengi; story, marketing / promotion n.k. Hio animation ni last hurdle pili kama itakuwa ni kampuni huenda mtakuwa mnafanya kazi kwenye teams..., Pia nadhani mleta uzi kama unajua where to go labda ungeuliza ni software zipi unataka watu watumie na je ni 2D au 3D pia kama ni 2D watumie nini Moho, Toon Boom Harmony au just a simple program kama cartoon animator ?

Sio kwamba nipo kwenye Industry..., I just happen to Know.....
Mkuu
Hao wasanii animators siyo manamba. Wanajitambua na ujue huu mchezo wa kusema huu ujira alipuweka mtoa post ni fursa ni uongo mkubwa.

Utengenezaji wa katuni kutoka kwenye template au isiwe template kuna creativity inatumika. Muda wa kuandaa frames na artworks pia ni jambo lingine.

Niliwahi kutembelea Studio ya Animation huko France na South Africa. Ni uwekezaji makini tofauti na
Tengeneza hiyo clip; hayo mengine yatajadiliwa.
Poa
 
Tengeneza hiyo clip; hayo mengine yatajadiliwa.
Jambo lingine mkuu inakuja suala la Law binding.

Umeweka email pekee, ingelikuwa busara ungeweka namba ya simu pia ili mtu ajihakikishie ulinzi wa hakimiliki yake
 
Ni kweli mkuu, nakubaliana na wewe; masoko yapo tayari, ila kupata mtu ambaye ni competent ndio shida ilipo. Wapo wanaojua kuchora tu, ila kuvichezesha na kuviongelesha ndipo penye matatizo.
Kuchora tu ndio kugumu zaidi kuna kitu kinaitwa artistic mind (hio inatokana na muda wa kuchora kwa muda mrefu unajikuta kuna vitu unaviona mwingine havioni) kila mtu anaweza kujifunza kuvichezesha na kuviongelesha ila wachache (inahitaji muda na unaiva according muda unavyopita) kujua kuchora
 
Mi nataka ndani ya mwezi tuwe tumetengeneza movie ya masaa 5
Story ipo ?, Characters mnao / unao ? Umepiga hesabu hio timu yako utaweza kuilipa kutokana na mauzo ya hio movie au unafanya charity (just for fun)...., Pia kama ni just for fun unaweza kutafuta volunteers au kama vipi lipia watu Fiver n.k. upate characters ambao watakuwa wako na unaweza kuwatumia mara nyingine kwenye vitu vingine...., mwisho wa siku kama ni kitu long term character according to you, mawazo yako na utunzi wako atakuwa tofauti na character nitakayemtoa mimi...., Unaweza ukaajiri mchoraji akuchoree character kwa mawazo yako..., huyo character unamfanyia tracing kwenye software kama moho.., unamtengenezea body parts, unamuwekea bones kwa ajili ya rigging basi kazi imekwisha (ukishakuwa na lip sync kwenye midomo kinachobaki hata wewe unaweza ukamchezesha huyo character kwenye scenes tofauti
 
Mkuu
Hao wasanii animators siyo manamba. Wanajitambua na ujue huu mchezo wa kusema huu ujira alipuweka mtoa post ni fursa ni uongo mkubwa.

Utengenezaji wa katuni kutoka kwenye template au isiwe template kuna creativity inatumika. Muda wa kuandaa frames na artworks pia ni jambo lingine.

Niliwahi kutembelea Studio ya Animation huko France na South Africa. Ni uwekezaji makini tofauti na

Poa
Mkuu unaweza usipate pesa ila ikawa ni Extra paragraphs kwenye CV yako..., hivi mfano unadhani ukisema ulishiriki kwenye kutengeneza Games of Thrones..., hata kama uliweka tu underlines au proof reading kwenye subtitles hio haitakuongezea employ-ability ?

Softwares zimekuwa nyingi na Indie artists wamekuwa wengi kuliko hata soko, ni vigumu ku-penetrate, ndio maana nikatoa wazo kama mtu anajiamini na ana story afanye auze mwenyewe ila kama ni story ya mango na chungwa ambao characters sio unique mtu anaweza kuifanya kwa sekunde kwa kutumia macho ambayo tayari anayo kwenye library yake..., midomo ambayo tayari ipo na kama ni english text to speech kutokea hata IVONA ambao sio wabaya sana..., tayari hapo atakuwa kapata fursa ya kuingia kwenye interview....

Sasa huko kwenye interview ndio litakuja swali unafanya peke yako au una timu, vitendea kazi vipoje, usumbufu upote je unahitaji kufanya creativity au ni rigging pekee sababu kama ni rigging unaweza uka-transfer rigging ambazo tayari zipo kwenye library yako hio nyanya ikacheza kama Michael Jackson
 
Kwa maelezo haya mazuri hakika hautawapata professionals.

Kuna shirika la serikali last year walikuja kwa style hii wakaokotewa ameatures wa animation wakakaa Morogoro mwezi na nusu wakaishia kula posho za bure.

Ulizia studio za animators zilipo ukaone productions zao. Unaleta script ya storyboard hapa kisha unataka wakutumie ili mmoja no ummpe hiyo laki mbili unusu... huu ni mwenendo wa kudharau fani hiyo. Unadhani nani analipia muda wao? Umeme na creativity ya charracters na background?

Come clean, badili approach. Hii siyo bongomuvi
 
Kwa maelezo haya mazuri hakika hautawapata professionals.
Unatengeneza nini ili upate nini ? Hio ndio issue...., unataka utengeneze blockbuster ya kwenye kuuza netflix au upate kitu cha kuvutia angalau uokoteze vipesa Youtube.... its all relative..., ni tofauti kubwa kama unataka kutengeneza kitu kama Shrek au Toy Story (jambo ambalo mtu kama huyu hata akitaka huenda asifanikiwe ni billions of money invested) na hata hao huenda wasi-break even au wakapata hasara mwisho wa siku....

Kinachouza kitu sio muonekano appearance pekee bali story line n.k...., mtu anaweza akatengeneza wale stick figures au Charlie Chaplin aliweza kutengeneza vitu ambayo ni black and white bila dialogue na bado kikapendeza.., kwahio in the end una-invest kwenye nini....., ila before everything kama story unayo na sio complicated and characters are not unique you need to stick to your budget / level....

Kama sound anaweza kuweka Bibi yako mtumie sio Umfuate Obama / Chris Rock akuwekee sauti yake (huenda ukaongeza mauzo) ila pesa utakayompa huenda ukaweka rehani kampuni yako

Kuna shirika la serikali last year walikuja kwa style hii wakaokotewa ameatures wa animation wakakaa Morogoro mwezi na nusu wakaishia kula posho za bure.
Inategemea hilo shirika walitaka kufanya nini kwa level ipi / standard gani na kwa wakati gani (its all relative) unajua amateurs wangapi au indie artists wangapi wapo wenye ujuzi ambao hawajapata opportunities....., sio kwamba kila ukitaka chungwa na limao viongee uwafuate kina Steven Spielberg ndio wawe directors... (ingawa utaongeza mauzo ila ndio hivyo gharama huenda ukafilisi kampuni au muhusika akaona unashusha CV yake)
Ulizia studio za animators zilipo ukaone productions zao.
Like I said its all relative...., Movie kama Toy Story hata ungepewa wewe uifanyie rendering kwenye mashine yako na washikaji zako wote na PCS zote za wadau wa JF huenda kumaliza rendering ingechukua miaka kama 20
Unaleta script ya storyboard hapa kisha unataka wakutumie ili mmoja no ummpe hiyo laki mbili unusu...
Like I said its all relative unadhani kama mtu ana library tayari ya characters wengine Midomo, Macho inachukua dakika ngapi kuunganisha kwenye chungwa na kufanya rigging ? Achana na Laki mbili na Nusu kuna watu wanafanya haya mambo for Fun na kuyapost kwenye community (yaani furaha yake angalau watu wa-invest muda wao kuangalia alichokifanya) kuuza sura if you may....
huu ni mwenendo wa kudharau fani hiyo. Unadhani nani analipia muda wao?
Hivi unajua as a creator / hobbyist kuna watu wanafanya vitu just for Fun yaani unakuta mtu anachora kitu sio ili auze bali its what he/she likes..., hili ndio tatizo linalowakumba watu wengi na kazi nyingi kutokuwa creative bali manufactured watu wanafanya vitu ili wapate pesa na sio ili wanachokiwaza / kifikiri kukiweka kwenye audience ili kushare na wanajamii
Umeme na creativity ya charracters na background?
Ndio maana nikasema ni unique characters au kama alivyosema embe na chungwa plus background ambayo tayari ni scene unaweza ukachukua from your library of scenes au picha yoyote from online
Come clean, badili approach. Hii siyo bongomuvi
Kama vile ilivyo kuna madudu kwenye movies / holywood ndio kuna madudu pia kwenye animations, its all relative.., unaweza pia kwenye animation ukachukua some photos ukafanya rigging na kutoa kitu cha ajabu kwa muonekano ili tu kufikisha ujumbe..., na sidhani kama huyu anataka 3D animation as am sure kama anataka movie hata hio computing power ya kufanya rendering na hata akitumia rendering farms itamcost pia kwenye muda / computer sharing na akienda kulipia anaweza akajikuta anatumia maelfu ya dollars kwa rendering za dakika kadhaa tu let alone masaa....
 
Kukazia Picha kama hii haikupigwa bali ni computer generated ila muda wa kumaliza kutoa hio picha kutoka kwenye modelling na texturing na lighting kwa picha moja tu huenda ikatumia masaa kulingana na mashine yako..., sasa just imagine ni animation na unahitaji kama 60 frames per seconds utakuchukua muda gani...
1662540230433.png

Hence probably kwa movie 2D is the way to go Equation x
 
Back
Top Bottom