Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

Duh watu wapo negative sana.....

Mtu kama yupo kwenye hii industry huenda tayari ana template kwahio kutengeneza hio huenda isichukue sana muda....

Pili hapo kuna audio sasa sijui anatumia sauti yake, sauti yako au anatumia text to speech..., Kwa wanaosema interview kwanza upate kazi ndio uonyeshe kazi sio kweli..., kwenye hii industry unaonyesha kazi ulizofanya tayari kwa dakika au hata sekunde ili upate kazi...

Pili huenda mkaona huo ujira ni mdogo ila ndio hivyo industry ina competition ila kama una kipaji na unaona pesa ni ndogo basi tengeneza yako uuze mwenyewe.., ila hapo utagundua sio kutengeneza tu kuna mambo mengi; story, marketing / promotion n.k. Hio animation ni last hurdle pili kama itakuwa ni kampuni huenda mtakuwa mnafanya kazi kwenye teams..., Pia nadhani mleta uzi kama unajua where to go labda ungeuliza ni software zipi unataka watu watumie na je ni 2D au 3D pia kama ni 2D watumie nini Moho, Toon Boom Harmony au just a simple program kama cartoon animator ?

Sio kwamba nipo kwenye Industry..., I just happen to Know.....
 
Animations [emoji119] endelea kumtafuta tu huyo mtu wa kutengeneza hivyo vitu ukimkosa kabisa nitafute
 
Equation x

Kutengeneza katuni quality ni ngumu na ni time consuming, na kumuongelesha ni hatari kabisa.

Hapo inatakiwa modeling, texturing, rigging ndo animation. Kila kimoja hapo ni kozi.

Na kuna kimbembe cha lip syncing

Kutengeneza realistic lip syncing inayokupa asilimia 100 inataka mtu aliye kwenye industry muda mrefu.
 
Duh watu wapo negative sana.....

Mtu kama yupo kwenye hii industry huenda tayari ana template kwahio kutengeneza hio huenda isichukue sana muda....

Pili hapo kuna audio sasa sijui anatumia sauti yake, sauti yako au anatumia text to speech..., Kwa wanaosema interview kwanza upate kazi ndio uonyeshe kazi sio kweli..., kwenye hii industry unaonyesha kazi ulizofanya tayari kwa dakika au hata sekunde ili upate kazi...

Pili huenda mkaona huo ujira ni mdogo ila ndio hivyo industry ina competition ila kama una kipaji na unaona pesa ni ndogo basi tengeneza yako uuze mwenyewe.., ila hapo utagundua sio kutengeneza tu kuna mambo mengi; story, marketing / promotion n.k. Hio animation ni last hurdle pili kama itakuwa ni kampuni huenda mtakuwa mnafanya kazi kwenye teams..., Pia nadhani mleta uzi kama unajua where to go labda ungeuliza ni software zipi unataka watu watumie na je ni 2D au 3D pia kama ni 2D watumie nini Moho, Toon Boom Harmony au just a simple program kama cartoon animator ?

Sio kwamba nipo kwenye Industry..., I just happen to Know.....
Huyu jamaa anataka 3d animation, yenye
Modeling, texturing, ringing, lisp sync, lighting,and rendering Kwa 1 hour
🤣🤣🤣👆
 
Software zitakazo tumika hapo either Maya ambayo NI commercial but you can crack it.
C4d ñayo NI commercial
Blender free but you can buy add-ons to simplify work process
Huyu jamaa anataka 3d animation, yenye
Modeling, texturing, ringing, lisp sync, lighting,and rendering Kwa 1 hour
🤣🤣🤣👆
 
Huyu jamaa anataka 3d animation, yenye
Modeling, texturing, ringing, lisp sync, lighting,and rendering Kwa 1 hour
🤣🤣🤣👆
Who does the rendering ? hivi unajua rendering kwa mashine ya kawaida 3D inaweza kutumia muda gani.., au anatumia rendering farms au quality inakuwaje ?

All in all kama mtu hii ndio kazi yako, una template za kutoa sample na hizo kazi utakazopewa kwa huo mwezi ni za muda gani na aina gani.., story anafanya nani na mwisho wa siku kama ni characters wanakuwa mali ya nani...

Sababu mwisho wa siku kama tayari characters unao na kila motions ushatengeza mwisho wa siku ikija kazi kumfanya acheke au aongee inakuwa rahisi (kazi ishafanyika kabla)..., ila 3D animation ya lisaa lizima one man army kwa vifaa vya kudunduliza huenda ikachukua miaka 100 kumaliza rendering ya hio animation
 
Apo nilikuwa namaanisha 1hour ya process zote za kuproduce 3d animation
Nasio 1 hour ya animation yenyewe.
Kama unakumbuka mwanzo kabisa alitaka
Ategenezeewa animation Kwa muda wa Lisaa kimoja
Akijua kutengeneza 3d animation nikama posters vile
 
Duh kwahio yeye anataka muda wa mimi kufanya kazi ? Unaweza ukatengeneza animation ya sekunde tano kwa miezi sita inategemea na complications zilizopo na kama una character tayari pia animation ya nusu saa huenda ikachukua dakika kumi kama character tayari yupo na its just rigging....

Kwahio jamaa angefahamu anachotaka alafu process ya kufika huko ndio ikafuata pia huenda ikawa rahisi atoe pesa kutengenezewa unique characters na kama ni story teller mzuri akawa anatumia hizo characters kufanya rigging na kubadilisha scenes..., anyway 3D bado bottle neck ni rendering unaweza ukajikuta unasubiri miaka kadhaa kabla movie yako haijawa rendered na computers (even some render farms costs money hata kama ni bure ujue utalipia kwa umeme au time computer yako ipo on katika kutengeneza hio rendering farm)

Sio kwamba nipo kwenye industry..., but I just happen to know....
 
Who does the rendering ? hivi unajua rendering kwa mashine ya kawaida 3D inaweza kutumia muda gani.., au anatumia rendering farms au quality inakuwaje ?

All in all kama mtu hii ndio kazi yako, una template za kutoa sample na hizo kazi utakazopewa kwa huo mwezi ni za muda gani na aina gani.., story anafanya nani na mwisho wa siku kama ni characters wanakuwa mali ya nani...

Sababu mwisho wa siku kama tayari characters unao na kila motions ushatengeza mwisho wa siku ikija kazi kumfanya acheke au aongee inakuwa rahisi (kazi ishafanyika kabla)..., ila 3D animation ya lisaa lizima one man army kwa vifaa vya kudunduliza huenda ikachukua miaka 100 kumaliza rendering ya hio animation
Hivi haya mavitu mnayoyaongelea, huyu Equation x anayaelewa kweli? Eti Blender ,KeyserSoze ,

Au bado anakaza fuvu!
 
Kama atahitajika mtu wa graphics pia tustuane naambatanisha kazi yangu.
20220904_210516.jpg
 
Jinsi ya kutengeneza posters ya mwana siasa within 1hour
put a nice picture akiwa amevaa nguo za chama na anacheka
Put a good background.
Put his or her's propaganda
Note.do not put his or her contacts , because this guy's hawapendi kusumbuliwa na citizens
Export with PNG and CMYK.
Finish 😀
 
Habari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=

Maudhui:

Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi​
Samahani mkuu
According to the market value hiyo posa uliyoiweka hapo ni kama unatania sekta.
 
Back
Top Bottom