Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nimekusoma nimekuelewaUnatengeneza nini ili upate nini ? Hio ndio issue...., unataka utengeneze blockbuster ya kwenye kuuza netflix au upate kitu cha kuvutia angalau uokoteze vipesa Youtube.... its all relative..., ni tofauti kubwa kama unataka kutengeneza kitu kama Shrek au Toy Story (jambo ambalo mtu kama huyu hata akitaka huenda asifanikiwe ni billions of money invested) na hata hao huenda wasi-break even au wakapata hasara mwisho wa siku....
Kinachouza kitu sio muonekano appearance pekee bali story line n.k...., mtu anaweza akatengeneza wale stick figures au Charlie Chaplin aliweza kutengeneza vitu ambayo ni black and white bila dialogue na bado kikapendeza.., kwahio in the end una-invest kwenye nini....., ila before everything kama story unayo na sio complicated and characters are not unique you need to stick to your budget / level....
Kama sound anaweza kuweka Bibi yako mtumie sio Umfuate Obama / Chris Rock akuwekee sauti yake (huenda ukaongeza mauzo) ila pesa utakayompa huenda ukaweka rehani kampuni yako
Inategemea hilo shirika walitaka kufanya nini kwa level ipi / standard gani na kwa wakati gani (its all relative) unajua amateurs wangapi au indie artists wangapi wapo wenye ujuzi ambao hawajapata opportunities....., sio kwamba kila ukitaka chungwa na limao viongee uwafuate kina Steven Spielberg ndio wawe directors... (ingawa utaongeza mauzo ila ndio hivyo gharama huenda ukafilisi kampuni au muhusika akaona unashusha CV yake)
Like I said its all relative...., Movie kama Toy Story hata ungepewa wewe uifanyie rendering kwenye mashine yako na washikaji zako wote na PCS zote za wadau wa JF huenda kumaliza rendering ingechukua miaka kama 20
Like I said its all relative unadhani kama mtu ana library tayari ya characters wengine Midomo, Macho inachukua dakika ngapi kuunganisha kwenye chungwa na kufanya rigging ? Achana na Laki mbili na Nusu kuna watu wanafanya haya mambo for Fun na kuyapost kwenye community (yaani furaha yake angalau watu wa-invest muda wao kuangalia alichokifanya) kuuza sura if you may....
Hivi unajua as a creator / hobbyist kuna watu wanafanya vitu just for Fun yaani unakuta mtu anachora kitu sio ili auze bali its what he/she likes..., hili ndio tatizo linalowakumba watu wengi na kazi nyingi kutokuwa creative bali manufactured watu wanafanya vitu ili wapate pesa na sio ili wanachokiwaza / kifikiri kukiweka kwenye audience ili kushare na wanajamii
Ndio maana nikasema ni unique characters au kama alivyosema embe na chungwa plus background ambayo tayari ni scene unaweza ukachukua from your library of scenes au picha yoyote from online
Kama vile ilivyo kuna madudu kwenye movies / holywood ndio kuna madudu pia kwenye animations, its all relative.., unaweza pia kwenye animation ukachukua some photos ukafanya rigging na kutoa kitu cha ajabu kwa muonekano ili tu kufikisha ujumbe..., na sidhani kama huyu anataka 3D animation as am sure kama anataka movie hata hio computing power ya kufanya rendering na hata akitumia rendering farms itamcost pia kwenye muda / computer sharing na akienda kulipia anaweza akajikuta anatumia maelfu ya dollars kwa rendering za dakika kadhaa tu let alone masaa....
Ingawa ni busara kuliboresha tangazo lako