Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

Sijafeli interview wala nini... tusidanganyane hapa..kwa mtu anae jua kazi ya kutengeneza animations ilivyo awezi mfanyia mtu kazi from nowhere.. wewe ndio umekosea recruitment style uliyo tumia.. mimi kama web developer mtu akitaka kuniajili anatakiwa aniombe project niliyo wai fanya, either iwe published au la! Lakini sio aje aniambie nimtengenezee website alafu nimtumie ata simjui .. hakuna kitu kama hicho bro, matapeli ni wengi. Omba watu wakutumie kazi zao ili uhakikishe ubora wao sio kuwapa kazi ..
Jamaa analeta janja janja ya kufanyiwa kazi bure azitumie kujifaidisha, na hajui process za recruitment, vijana wa bongo wanadharau sana na kazi za watu 😀😀😀
 
Najua ni kazi ngumu mkuu,ila najua kuna vijana wabobezi wanaoweza kutumia saa moja kutengeneza hayo maudhui;namimi nawatafuta hao ambao wako smart,hata awe darasa la saba;cha muhimu ni huo utundu wa kutengeneza hivyo vitu
Haiwezekani kutengeneza 3d animation Kama hiyo uliyosema Kwa li SAA li moja Mzee🤣🤣
 
Huoni kama hiyo project watu wakifanya kwa mfumo huo utawaacha wengi wapoteze muda wao huku atakayepata pesa ni mmoja?

Bado pia hiyo pesa ni ndogo kwa animation, binafsi ni Graphic Designer na kuna projects zinazidi hiyo pesa. Animation ni ngumu, kutengeneza video ya 10s tu siyo kazi ndogo.

Weka mfumo mzuri, watu watume portfolio zao uchague wa kufanya naye kazi.
 
Ndio ile mtu anakuwa na vyeti vizuri, huku kazi hajui
 
Kwanza Ku render Tu, hiyo 3d animation aliyo sema inaweza kuchukua hata siku 3.
Mleta Uzi , kaa na watu wakuelekeze.
Tatizo tusiojua vitu tuna maneno mengi, we tengeneza hayo mengine yatajadiliwa
 
Jamaa analeta janja janja ya kufanyiwa kazi bure azitumie kujifaidisha, na hajui process za recruitment, vijana wa bongo wanadharau sana na kazi za watu 😀😀😀
Tatizo maneno mengi, kazi hawajui
 
Sijafeli interview wala nini... tusidanganyane hapa..kwa mtu anae jua kazi ya kutengeneza animations ilivyo awezi mfanyia mtu kazi from nowhere.. wewe ndio umekosea recruitment style uliyo tumia.. mimi kama web developer mtu akitaka kuniajili anatakiwa aniombe project niliyo wai fanya, either iwe published au la! Lakini sio aje aniambie nimtengenezee website alafu nimtumie ata simjui .. hakuna kitu kama hicho bro, matapeli ni wengi. Omba watu wakutumie kazi zao ili uhakikishe ubora wao sio kuwapa kazi ..
Akishindwa kukuelewa hapa, basi atumie hata kichwa cha chini kujielewesha!

Katuni za Ubongo Kids zilinipa tabu kutengeneza sio poa, halafu leo mtu anakuja na tantarira za tengeneza animation!
 
Kwa mazingira haya,wengi watatuma kazi za wengine huku wakithibitisha wamefanya wao wakati si kazi zao; kwa staili yangu hii, ili kuthibitisha ni wewe kweli umefanya; tumia maudhui niliyokuwekea; hatuitaji cheti au ngazi yako ya elimu,bali tunataka kazi tu
[emoji419][emoji419]Sahihi kabisa mkuu
 
Akishindwa kukuelewa hapa, basi atumie hata kichwa cha chini kujielewesha!

Katuni za Ubongo Kids zilinipa tabu kutengeneza sio poa, halafu leo mtu anakuja na tantarira za tengeneza animation!
Kuthibitisha ulitengeneza wewe; tengeneza kwa kufuata hayo maudhui hapo juu
 
Back
Top Bottom