Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

Mkuu Kwanza hujawaspecific unataka 2D au 3D animation.
Na pia kutengeneza animation sio kazi ndogo maana Kuna project zinagharimu almost 300million Tsh.
Ungesema naomba portfolio za animators uone quality na ubora wa kazi na sio unataka mtu akufanyie kazi kwa laki mbili na nusu.
Unajua Gharama ya kutengeneza animation frame per second (FPS).

Last but not least ongeza dau uone watu watavotuma portfolio za animation za kutosha.
 
Najua ni kazi ngumu mkuu,ila najua kuna vijana wabobezi wanaoweza kutumia saa moja kutengeneza hayo maudhui;namimi nawatafuta hao ambao wako smart,hata awe darasa la saba;cha muhimu ni huo utundu wa kutengeneza hivyo vitu
 
Dha mkuu itabidi nikutafute, kuanzia sep 6 ivi nitakua likizo. hata kama internship itabidi tu unipatie yani tofauti na kutumia terminal za debian na programming mambo ya graphic kwangu ni changamoto. Mkuu izo animation ni kama zile za TBC au Rango
 
Dha mkuu itabidi nikutafute, kuanzia sep 6 ivi nitakua likizo. hata kama internship itabidi tu unipatie yani tofauti na kutumia terminal za debian na programming mambo ya graphic kwangu ni changamoto. Mkuu izo animation ni kama zile za TBC au Rango
TBC 😂😂😂 Ila watu wa TBC wanakula mshahara wa bure maamae mana sio kwa ule ujinga mana animation zao utadhani ni za 1800s
 
Mkuu Kama unacomputer na mouse mafunzo Bora au vyuo Bora ni
Udemy
YouTube
Na vitabu

Mdogo wangu hajui kitu, basic ya animation nataka afundishwe kwa vitendo na mwalimu wanaeonana face to face. sitaki asome online maana namjua hawezi elewa bila kuwa na mentor

Online wanafundisha kila kitu ila bado watu wanaenda tution za darasani.. mfano hata cpa watu wanaenda tution ilala boma na mnazi mmoja mpaka leo huku youtube kuna video nzuri kibao za topic za uhasibu
 
Mafunzo kwa vitendo ndio muhimu zaidi
 
Ni kweli mkuu akishapata basics ili awe nondo apite huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…