whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Vp gpu? Uki render kwa cpu utachoma pc ndani ya siku 2!!Angalau core i7 nakwendelea hiyo ni kwa upande wa intel sijajua processor nyingine ipi ni bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp gpu? Uki render kwa cpu utachoma pc ndani ya siku 2!!Angalau core i7 nakwendelea hiyo ni kwa upande wa intel sijajua processor nyingine ipi ni bora
Nikipata mda ntakuchorea uone samplesAmekimbia kazi, niko tayari kutoa hicho kiasi, lakini kwa mwezi utengeneze muvi ya angalau masaa 10
Mkuu apo itabidi utafute supercomputer yenye core kuanzia 2500, Disney wanatumia supercomputer yenye core 5500.Nataka zile zenye uwezo WA kurender hata video yenye ukubwa WA GB 100 na kuendelea..Yani super heavy machine
Utumie maudhui niliyoyaweka hapo juuNikipata mda ntakuchorea uone samples
SawaUtumie maudhui niliyoyaweka hapo juu
Lakini si zipo.hizo supercomputer...huwa zinarange TSH ngapi!?Mkuu apo itabidi utafute supercomputer yenye core kuanzia 2500, Disney wanatumia supercomputer yenye core 5500.
Kiufupi ni ngumu
Sio chini ya bilioniLakini si zipo.hizo supercomputer...huwa zinarange TSH ngapi!?