Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za miamala

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
1,443
Reaction score
2,643
Habari wakuu,

Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za financial transatcions awe mwanamke eneo la kazi ni Dar es Salaam.
 
Kuna mabinti jana nimepishana nao masaki wanatafuta ajira. Ningefahamu ningechukua namba zao. Maana niingiwa na wivu wa kuwasaidia. Hope utafanikiwa.
 
Tajiri kichwa umeshindwa kuwaajiri?
Basi uwe tajiri pesa
 
Habari wakuu,

Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za financial transatcions awe mwanamke eneo la kazi ni Dar es Salaam.

Umempta?nna mdgo wangu ila yupo mbali kidgo nngeomba kujua malipo na ufnyaj wake wa kazi utkua na taratbu zipi
 
Back
Top Bottom