P Preba de fisica Member Joined Apr 8, 2021 Posts 21 Reaction score 17 Jan 14, 2025 #1 Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 30,567 Reaction score 86,748 Jan 14, 2025 #2 Dooh kwahiyo kutaja tu jina la hiyo shule ndio kitu ambacho kimeshashindikana kabisa