Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Nitumie picha yako Pm.
Ulikuwa unanipigia kelele oohh.. Makaveli nigaie pasi, nipigie pande, haya sasa captain maguire katoa boko, back pass hii mzee, ukitaka kufinya, kipa katoka hiyo mzee ukitaka kuchop kama Dennis Bergkamp, ni wewe tu, mie nitakuja kwenye kibendera kusherehekea nawe. 😂
 
Bilashaka huu sio ujumbe wangu ndio maana sijauelewa. Hope mwenye ujumbe wake ataelewa vyema
 
Bilashaka huu sio ujumbe wangu ndio maana sijauelewa. Hope mwenye ujumbe wake ataelewa vyema

Bilashaka huu sio ujumbe wangu ndio maana sijauelewa. Hope mwenye ujumbe wake ataelewa vyema
Kuna mtu nilireply comment yake.. RReigns

Maana yangu ni hii sasa, Yeye kila mara amekuwa akiniambia nimsakie mchumba, sasa leo mchumba umejitokeza mweenyewe, kilichobaki ni yeye tu kumalizia, mimi nitakuja ukumbini kusherehekea harusi yenu.
 
😄Ok, asante kwa ufafanuzi!
 
Look no further. The man you’re looking for is finally here. Grab this opportunity now!!! Note: terms and conditions apply. This advertisement has been vetted and approved by the Single & Searching Committee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…