Baba wa mtoto yupo?Nahitaji mtu wa kufunga nae ndoa na kupokea baraka zote za ndoa ambazo ni pamoja na watoto.
Una hamu ya ndoa au siyo?!!.Nahitaji mtu wa kufunga nae ndoa na kupokea baraka zote za ndoa ambazo ni pamoja na watoto.
kipindi hiko cha late twenties ulikua wapi? au ulkuwa unafukuzia thesis ya pHd huko Birminghaam?Sina uwezo huo ndugu!
Kutumikia ndoa sio missionKuiishi na kuitumikia ndoa