Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Vijana fursa hiyo, huyo kajileta mwenyewe sio mpaka uanze kutoa viofa vya soda wala nini, ni kusema tu mimi nina vigezo, tayari umechukua mzigo...
 
Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
Ednatha, naomba picha yako PM.
 
Nataka mke, mm nina umri wa miaka 40 na mkristo

Sifa za mke.
Awe na umriwa miaka 30 awe bikra
By Mamlaka
Miaka 30 bikra?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamaanisha bikra ipi hiyo?
Maana nasikia siku hizi katoto kam form 2 tayari bikra zote mbili hakuna
 
Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
Vipi mama unahitaji mwanaume mwenye kazi gani?
Au hata mimi muuza majeneza ntakufaa?
Nasubiri jibu ili kama sintokufaa nimstue dingi yangu mdogo yeye ni mlinzi hapo kwa wahindi hanaga mke pia
 
Vipi mama unahitaji mwanaume mwenye kazi gani?
Au hata mimi muuza majeneza ntakufaa?
Nasubiri jibu ili kama sintokufaa nimstue dingi yangu mdogo yeye ni mlinzi hapo kwa wahindi hanaga mke pia
Kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato
 
Back
Top Bottom