Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Vijana fursa hiyo, huyo kajileta mwenyewe sio mpaka uanze kutoa viofa vya soda wala nini, ni kusema tu mimi nina vigezo, tayari umechukua mzigo...
 
Ednatha, naomba picha yako PM.
 
Nataka mke, mm nina umri wa miaka 40 na mkristo

Sifa za mke.
Awe na umriwa miaka 30 awe bikra
By Mamlaka
Miaka 30 bikra?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamaanisha bikra ipi hiyo?
Maana nasikia siku hizi katoto kam form 2 tayari bikra zote mbili hakuna
 
Vipi mama unahitaji mwanaume mwenye kazi gani?
Au hata mimi muuza majeneza ntakufaa?
Nasubiri jibu ili kama sintokufaa nimstue dingi yangu mdogo yeye ni mlinzi hapo kwa wahindi hanaga mke pia
 
Vipi mama unahitaji mwanaume mwenye kazi gani?
Au hata mimi muuza majeneza ntakufaa?
Nasubiri jibu ili kama sintokufaa nimstue dingi yangu mdogo yeye ni mlinzi hapo kwa wahindi hanaga mke pia
Kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato
 
Vijana fursa hiyo,huyo kajileta mwenyewe sio mpaka uanze kutoa viofa vya soda wala nini,ni kusema tu mimi nina vigezo,tayari umechukua mzigo...
[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…