Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Hivi hua mnapata wenza kweli humu??
Nikithibitishiwa na mimi niweke bango langu,
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mtoto ulie nae babaye yuko wapi
 
Pia tengeneza profile nzuri, picha decent hasa za outdoors, usiedit sana zikapoteza uhalisia.. kisha zitupie, kwenye dating app
kama
okcupid, Bumble, tinder, blackwhite, etc.

Huko napo unaweza kupata mwenza,
Umakini unahitajika kufahamiana na watu wapya wa mtandaoni, so kama kukutana ziwe sehemu public yenye watu wengi kama (mlimani city) .. toa taarifa kwa mtu wako wa karibu ajue exactly wapi unakwenda ...

Usitume taarifa za documents kuhusu wewe kwa mtu suitemfahamu unless umehiahkikishia usalama..
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri. Nitaufanyia kazi. Ubarikiwe ndugu[emoji120]
 
Mungu akubariki Ednatha. Uko na hekima, hata majibu yako kwenye maswali kichefuchefu yanaonyesha hivyo. Upate hitaji la moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…