Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.
Sifa zote ninazo ila Imani tu, imeendelea kututenganisha.
 
Editha upo serious kweli au laah.
Coz majibu yako yananipa walakini..
Kama utakosa kabisa..mimi nipo ila kuna kigezo nakosa..karibu
 
Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo,nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1.Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3. Asiwe na ndoa
4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato

Mengine tutajuzana PM, karibu.

Tafsiri ya uzi wako

wewe ni mwanamke Umekuja kutafuta beta male Provider (mwanaume danga) Aka sponsa wa kukuhudumia kipesa wewe na mwanao, na si mapenzi, baada ya alpha males ulowataka kukuzalisha na kukukimbia..

Kama huko mtaani umekosa wanaume hadi umekuja huku jf kuwatafuta basi una matatizo mtambuka.

Unaanzisha uzi utafute attention tu umekuja hapa kutuchora na kutuona maboya jinsi tutakavojazana huko pm kukutext ili usitujibu Ednatha
 
Nyie ni wapuuzi tu, mtu akija inbox mnaanza kuchambua kazi anayo fanya ili ajue atapata nini, Kuna mmoja humu nilimsoma nikajua hamna kitu hapo. Ndoa haipatikani humu jf, inapatikana mazingira mliyopo na Kwa msaada wa MUNGU kupitia mawazo yako dhidi ya mtu anayekuijia, elimu na pesa ndo mnazotazama zaidi ilihali wenye elimu wanazidiwa ukarimu na hata akili ya kuendesha maisha na watu wa kawaida
 
Jo. Humu jukwaani usiwe serious saaaanah
 
Nashukuru kwa tafsiri yako mpendwa
 
Nyie ni wapuuzi tu, mtu akija inbox mnaanza kuchambua kazi anayo fanya ili ajue atapata nini, Kuna mmoja humu nilimsoma nikajua hamna kitu hapo. Ndoa haipatikani humu jf, inapatikana mazingira mliyopo na Kwa msaada wa MUNGU kupitia mawazo yako dhidi ya mtu anayekuijia, elimu na pesa ndo mnazotazama zaidi ilihali wenye elimu wanazidiwa ukarimu na hata akili ya kuendesha maisha na watu wa kawaida
Sawa
 
Naomba tafsiri ya mume mimi niko tayari ila uume hausimami kabisa mwaka wa nne huu
Pole sana kwa changamoto unayoipitia. Kwangu mimi, "Mume ni mwanaume mwenyeuwezo wa kumpenda mkewe na kuongoza familia yake".
 
Back
Top Bottom